Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,351
Reaction score
2,255
Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana nilidhani jana alinielewa lakini leo amenipigia tena.
 
Vijana wafanye kazi hakuna pesa rahisi
 
Hao ni -TLAATTLAAH na MWASHAMBWA -wa JF hapa..Wapo hicho Kitengo ..eti wanatunisha Mfuko wa CCM...
Ogopa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…