elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Mkuu hukumuelewa. Huyo dada hapo juu alikuwa anataja nyimbo nyingine ya alhaj tekno. Inaitwa where. Naona wewe ume share link. Pole kwa kutomuelewa
Mimi ndo alhaj teknowhere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hukumuelewa. Huyo dada hapo juu alikuwa anataja nyimbo nyingine ya alhaj tekno. Inaitwa where. Naona wewe ume share link. Pole kwa kutomuelewa
unajua kiswahili fasahaMimi ndo alhaj tekno
Nafahamu na najua french kidogo. Bila kusahau panaaaaa.unajua kiswahili fasaha
[emoji23][emoji23]Nafahamu na najua french kidogo. Bila kusahau panaaaaa.
Itakua alifundishwa na mwalimu lulu na mwalimu gigy mapeeesaunajua kiswahili fasaha
Yani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea
mkuu kuna ile Monica inanishikaka mbaya hata kama ninaendesha inabidi nisimame kwanza iisheYani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea
Ile ya your loveis beautiful, your love is wonderful...mkuu kuna ile Monica
your love is gone foulIle ya your loveis beautiful, your love is wonderful...
Jamaa ni mkali sana aisee
MIMI NAIPENDA SANA HIYO DURO.Yani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea