Huyu tekno anajua sana aisee

Huyu tekno anajua sana aisee

Yani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea
Yani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea
mkuu kuna ile Monica inanishikaka mbaya hata kama ninaendesha inabidi nisimame kwanza iishe
 
Asee achana na kitu inaitwa WHERE jamaa kaua mbayaaa...Techno anajua muziki
 
Nyie bhana mmesha nifanya tena nizame gogle nikazitafute hzo nyimbo!
-duro
-where
 
Back
Top Bottom