Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Huyo mama ni mpambe tu.

Walinizi ni wale ambao wanakuwa hawamuangalii mama wanakuwa wamezunguka kila angle kuangalia opposite side na mama.
 
Wamezoea mabavu kwa raia,huyo mlinzi wa Rais aliyeshika silaha alishamuona toka mbali akiwa hana nidhamu kukatiza nyuma ya migongo ya usalama wa Rais.Kosa kubwa mno kwa askari mwenye mafunzo.
Yuko makini alimuona muda kabla ya waliokuwa karibu, faida ya urefu
 
Wamezoea mabavu kwa raia,huyo mlinzi wa Rais aliyeshika silaha alishamuona toka mbali akiwa hana nidhamu kukatiza nyuma ya migongo ya usalama wa Rais.Kosa kubwa mno kwa askari mwenye mafunzo.
Hata huyo jamaa askari wa mavyeo kamuangalia kwa hasira kwamba anamuaibisha.

Hahahahha nsimecheka kishenzi yaaani kama jamaa ana bifu hivi.

Kwa maeneo yalivyokuwa karibu huwezi kufosi kupita nyuma ya walinzi paleee
 
Huyo mama ni mpambe tu.

Walinizi ni wale ambao wanakuwa hawamuangalii mama wanakuwa wamezunguka kila angle kuangalia opposite side na mama.
Nipe tofouti kati ya mpambe na mlinzi? Unafahamau kuna layer ngapi za ulinzi hadi kumfikia mlengwa ambaye ni mama?

Na unajua huyo mama ninaye muongelea alikuwa akitengeneza layer ya ngapi ya ulinzi??
 
Kumbe na ww umeona......
traffic hana adabu kabisa.....
anakatiza utafikiri anakwenda choo cha kwenye bar.....
hii sio adabu mbele ya MH Rais
 
inashangaza walinzi wamejikusanya sehemu moja hawana concentration kabisa hata kwenye mpira mabeki huwa wanajipanga kwa mpangilio sijui alipenyaje ,duh?kumbe angekuwa suicide bomber saa hii tunaongea mengine
Huo ulinzi pia una mashaka sana.

Ule upande ungine wa gari sijaona kabisa kama kuna mlinzi naona wamejazana upande huu tuu ambao mama kasimama.

Awe makini mama yetu,walinzi wawe makini bado tunamhitaji mama yetu msikivu atatufikisha tunakotaka....
 
Sio tukio la kawaida, nadhani atakuwa anahojiwa
Huyo hawawezi kumuacha,lazima ataitwa na wakubwa wake aulizwe nini sababu japokuwa haowezi kuwa ishu kubwa na hawezi kufanywa lolotee zaidi ya kuhojiwa tu
 
Kuna wale wanausalama kule mwanzo wako busy hata hawajui kuwa kunamjinga kachomoa betri nyuma yao.
Ila huyu traffic hayuko sawa achunguzwe
 
Nipe tofouti kati ya mpambe na mlinzi? Unafahamau kuna layer ngapi za ulinzi hadi kumfikia mlengwa ambaye ni mama?

Na unajua huyo mama ninaye muongelea alikuwa akitengeneza layer ya ngapi ya ulinzi??
Mpembe anakuwa yupo na raisi kila anakoenda, akikaa naye anakaa, akisimama naye anasimama.

Mlinzi yeye mwanzo mwisho yuko standby kasimama akitazama huku na kule hata kama mama amekaa.

Haya ni maoni yangu japokuwa naamini hata huyu niliyemuita mpambe naye anamlinda raisi kwa namna fulani.

Hivyo usitake mambo siriaz sana mkuu
 
Kwa ka waida ya wapi unayoijua wewe wa kudanga!?. Ujuaji mwiiiiingi!. Eti kwa kawaida wanavaaga travota!?.. kwapa zinanuuuuuuka, domo ndo usiseme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…