Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu?

Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
 
NDYO NI USIKU ILA WANA THIMBA TUSISAHAU KUMPIGIA KURA BOULAYE DIA🔥🔥🔥🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC lzm nimeona jamaa kachuja sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gan na bipaji vya kusini mwa jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu...

Sijui wadau mna mu assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman

HUJUI MPIRA WEWE.
 
Bado yuko vizuri
Mchezo wake wa kwanza
Combination bado hamna
Huku lomalisa kapanda
Kisinda kaingia kati
Bado hawaja link
 
Kisinda Hajacheza mechi yoyote ya ushindani tangu aachane na Berkane, Sasa atapata mechi mbili nzuri dhidi ya Al Hilal za kumuweka sawa kabla ya kuwa vaa Simba Kwa Mkapa.
 
Kisinda Hajacheza mechi yoyote ya ushindani tangu aachane na Berkane, Sasa atapata mechi mbili nzuri dhidi ya Al Hilal za kumuweka sawa kabla ya kuwa vaa Simba Kwa Mkapa.
We na nabi nani anajua,nabi alimcheki mazoezini na mechi ya kirafiki na mbuni akasema jamaa kaiva
 
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu?

Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
tumpe mda
 
Asee sio lazima kila mtu achambue mpira sa mchezaji ndo mechi ya kwanza anacheza ushaleta na hitimisho tayari.

Mchezaji apewe mda tuone baada ya mechi 5 tuje tumjadili hapa.
 
Back
Top Bottom