Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hajazoeana na wenziwe tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisinda kwenye timu zinazopaki basi hawezi kufua dafu kwasababu anategemea mbio tu, zaidi ya hapo hana ujanjaKisinda huwezi kuona ubora wake kwenye timu zinazopaki basi. Ngoja akutane na timu zinazoshambulia.
Kwani kukimbia riadha uwanjani kunahitaji combinationBado yuko vizuri
Mchezo wake wa kwanza
Combination bado hamna
Huku lomalisa kapanda
Kisinda kaingia kati
Bado hawaja link
NILI REPORT MATUSI YAKO ZIKAFUTWA TU ,KUMBE BADO UPO HUJALA BAN? AU KUNA WATU WANA UNDUGU NA MODERATORS?Yanga ya sasa hivi haichezi pasi ndefu kama zamani build-up ina anzia nyuma kwenda mbele tofauti na kipindi kile walikua wanacheza counter attacks Kisinda ana lazimika ku adopt style of playing
Unatafta bwana? stay away from me