Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

Huyu Tuisila mbona kapoa sana?

Kisinda si ndio uchezaji wake miaka nenda miaka rudi kukimbia tu mbio na kuishia kupiga krosi mbovu au kupitiliza na mpira (goal kick) na ndio maana haishangazi kuona anamaliza msimu mzima akiwa hafiki hata 5 jumla ya assist na magoli yake
Sasa nashangaa mkuu kusema kashuka kiwango hivi huyo jamaa nae aliwahi kuwa na kiwango kweli?
Kama atacheza kwa uwezo ule aliondoka nao kwenye kikosi cha Yanga kujihakikishia namba itakuwa ndoto
 
Kisinda huwezi kuona ubora wake kwenye timu zinazopaki basi. Ngoja akutane na timu zinazoshambulia.
Kisinda kwenye timu zinazopaki basi hawezi kufua dafu kwasababu anategemea mbio tu, zaidi ya hapo hana ujanja

Ni sawa na gari la mashindano (Ferrari) kulitia kwenye foleni yaani.[emoji16]
 
Yanga ya sasa hivi haichezi pasi ndefu kama zamani build-up ina anzia nyuma kwenda mbele tofauti na kipindi kile walikua wanacheza counter attacks Kisinda ana lazimika ku adopt style of playing
 
Yanga ya sasa hivi haichezi pasi ndefu kama zamani build-up ina anzia nyuma kwenda mbele tofauti na kipindi kile walikua wanacheza counter attacks Kisinda ana lazimika ku adopt style of playing
NILI REPORT MATUSI YAKO ZIKAFUTWA TU ,KUMBE BADO UPO HUJALA BAN? AU KUNA WATU WANA UNDUGU NA MODERATORS?
OYAA Active BlackBold Boqin ausbuhi niliomba ruhusa yenu nitukanane na huyu mtu mkasema nitakuwa natenda kosa mbona bado hajala BAN, nikijibu miye ndo mtani ban siyo?
 
Kusema kweli ile mechi hakuwepo....ila ngoja kwanza nikale fegi mpaka jumamosi nijue itakuwaje....
Ila mimi kama mwana Yanga, dah, sjui watatufanyiaje hawa wazito wa Al hilal. Mechi ya mwisho hapo na Ruvu tumecheza upuuzi.
 
Back
Top Bottom