luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC lzm nimeona jamaa kachuja sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gan na bipaji vya kusini mwa jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu...
Sijui wadau mna mu assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman
Okwi pia kafikisha miaka 24 janaEty ana miaka 23
We na nabi nani anajua,nabi alimcheki mazoezini na mechi ya kirafiki na mbuni akasema jamaa kaivaKisinda Hajacheza mechi yoyote ya ushindani tangu aachane na Berkane, Sasa atapata mechi mbili nzuri dhidi ya Al Hilal za kumuweka sawa kabla ya kuwa vaa Simba Kwa Mkapa.
tumpe mdaNimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu?
Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
Kwani Ashura cheupe anasemaje?Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu?
Sijui wadau mna mu-assess vipi huyu kiberenge cha kicongoman?
Lakini si alicheza kule Kigamboni dhidi ya Mbuni FC?Kisinda Hajacheza mechi yoyote ya ushindani tangu aachane na Berkane, Sasa atapata mechi mbili nzuri dhidi ya Al Hilal za kumuweka sawa kabla ya kuwa vaa Simba Kwa Mkapa.
🗣️ Mlete MzunguWachezaji wa kuokoteza.