DOKEZO Huyu Waziri Rajabu ni nani? Nasikia anapiga deal nzito sana wizara ya ujenzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
'Waziri Rajabu' - ni "Waziri wa Wizara ya Ujenzi"; au ni 'Waziri' kama jina?
Kwani Mbalawa yupo wizara gani?

WaTanzania, na hasa CCM wataishangaza sana dunia endapo kwa njia yoyote ile watakubali kuendelea kuwa na Samia baada ya 2025.

Si ajabu 'Waziri Rajabu' anatafuta wafadhiri wa kuwanunua waTanzania kwenye safari zake hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…