Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna cha MUNGU tuamke, kwanini sahivi wazanzibar hawalalamikii kero za muungano?Kama ni hivyo, tunahitaji mapinduzi ya kisiasa ndani ya chama alafu mabadiliko katika system
MUNGU Atusaidie katika hili kwa wepesi na haraka