Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna cha MUNGU tuamke, kwanini sahivi wazanzibar hawalalamikii kero za muungano?Kama ni hivyo, tunahitaji mapinduzi ya kisiasa ndani ya chama alafu mabadiliko katika system
MUNGU Atusaidie katika hili kwa wepesi na haraka
Nasikia ndo kila kitu kwasasa...!Huyu jamaa ni nani ? Hii picha inamuonyesha akiwa Dubai kapokelewa kwa ajili ya negotiations
Uliza wambea wenzako kina Mange na Fatuma.Huyu jamaa ni nani ? Hii picha inamuonyesha akiwa Dubai kapokelewa kwa ajili ya negotiations
Ona huyo kima alivyoviringisha bichwa mbele ya mseven ati nae anawakilisha nchi . Kizimkazi mpaka amalize nitakuwa hoiKwani hapa Abdul alienda kufanya negotiation kama nani?
Tukihoji wanakuja kusema tunawachukia sababu ya dini yao.
Hawa walevi wa hizi dini ni kazi sana.
Ni afadhali kwa asiye na dini kuliko hawa walevi wa dini.
View attachment 3109668
Huyu jamaa ni nani ? Hii picha inamuonyesha akiwa Dubai kapokelewa kwa ajili ya negotiations
Weka Ukweli.Sio kweli!
Uko tayari apake wese kwenye JICHO?Duh. Mimi bado niwa kitaifa ndio maana nimesema hivyo. Niko tayari kuwa mchepuko wakewa pili kwa punguzo la 50%
Tukiwaambia andikeni katiba mpya mnambwembwela eti ccm itatoka madarakaniSahivi bara inapigwa nje ndani na wazanzibar asee sisi tunatoa macho pekee
Tunaumia wote pamoja na weweTukiwaambia andikeni katiba mpya mnambwembwela eti ccm itatoka madarakani
Tungekuwa na katiba mpya kusingekuwa unaliwa Lia hapa jukwaani
Kama yapi? Kaenda kumfanyia shoping??Ni katibu wa Rais akiwa kwenye majukumu yake ya kawaida
so ni kosa abdul kuwepo hapo? je kama a nafanya majukumu yake ya first son je vibaya? mbona trump aliteua mwanae kuwa wazir trump jrKwani hapa Abdul alienda kufanya negotiation kama nani?
Tukihoji wanakuja kusema tunawachukia sababu ya dini yao.
Hawa walevi wa hizi dini ni kazi sana.
Ni afadhali kwa asiye na dini kuliko hawa walevi wa dini.
View attachment 3109668
Mtaje huyo mchepukoAmempangia mchepuko apartment town na kumpa kila mwezi milioni 20 fedha ya matumizi.
Abdul alikuwepo hapo katika "capacity" gani?so ni kosa abdul kuwepo hapo?
Cheo cha first son umekitoa wapi wewe?je kama a nafanya majukumu yake ya first son je vibaya?
Acha kudandia mada zinazikushinda uwezo lini huyo mtoto wa Trump alikuwa waziri au ni Usa river na USAmbona trump aliteua mwanae kuwa wazir trump jr
Hapa Kaguta Mseveni alikuwa anasema naona mama yako anafanya kama mm japo cjui baba yako ana cheo gani uko kwenu mm hapa Mke wangu ni waziri wa elimu na utamaduni na kijana wangu mkubwa ndo CDF.Kwani hapa Abdul alienda kufanya negotiation kama nani?
Tukihoji wanakuja kusema tunawachukia sababu ya dini yao.
Hawa walevi wa hizi dini ni kazi sana.
Ni afadhali kwa asiye na dini kuliko hawa walevi wa dini.
View attachment 3109668
Na kijana wake ambaye ni CDF amesema waganda wasitarajie rais ajaye wa Uganda atakuwa ni raia wa kawaida bali lazima atoke katima majeshi , jibu ni jepesi yeye ndio mrithi wa Museveni.Hapa Kaguta Mseveni alikuwa anasema naona mama yako anafanya kama mm japo cjui baba yako ana cheo gani uko kwenu mm hapa Mke wangu ni waziri wa elimu na utamaduni na kijana wangu mkubwa ndo CDF.