Huzuni, faraja, upweke...

Huzuni, faraja, upweke...

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ukiniangalia zaidi ya nje yangu Na ukiangalia ndani utaona mimi ni nani kweli
Nisipojificha tena mimi ndiye mimi, hukuwahi kunijua mimi, hukuweza kuniona Mpaka nilipopata ujasiri wa kusema haya. Ili hatimaye ujue kuwa mimi nilikuwa nikibadilika, nikibadilika Polepole, na baada nsoto mkubwa wa kutambaa hatimaye nikasimama tena!

Sasa kwa kuwa nimetoka mafichoni na kujifunua unaweza usipende unachokiona au Ulitaka niwe ambaye mimi hapo awali nilikuwa.. Lakini siwezi rudi kwa nilivyokuwa Sio kwa ajili yako tuu au mtu mwingine yeyote...

Nimejifunza kuwa mimi nilivyo Na maisha yangu ndiyo yalivyona yameanza kumeremeta [emoji8] Ikiwa unataka nitambae Umechelewa, nimejifunza kuruka sasa.

all we have is now....! Its now or never[emoji177]
db90ab8e63d0bd5282cff547427fbc34.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mganga hajigangi. Uganga wa matunguli haufui dafu kwa hisia za mapenzi..

Hisia hazifutiki kamwe, kwa kuwa hazikuandikwa kwa wino wowote.

Hamisha pengine. Pale panapoonekana inathaminika. Hamisha makao yako mdogo mdogo na baadae akili itasettle.

Using'ang'ane kuzifuta kwa sababu utakuwa unazikoleza zaidi.

Kila la kheri.
 
cd1802ee8d12a4396ad4a1bd85a5ebbd.jpg
79c003c0b94db6605879a8839b9d1936.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom