Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ukiniangalia zaidi ya nje yangu Na ukiangalia ndani utaona mimi ni nani kweli
Nisipojificha tena mimi ndiye mimi, hukuwahi kunijua mimi, hukuweza kuniona Mpaka nilipopata ujasiri wa kusema haya. Ili hatimaye ujue kuwa mimi nilikuwa nikibadilika, nikibadilika Polepole, na baada nsoto mkubwa wa kutambaa hatimaye nikasimama tena!
Sasa kwa kuwa nimetoka mafichoni na kujifunua unaweza usipende unachokiona au Ulitaka niwe ambaye mimi hapo awali nilikuwa.. Lakini siwezi rudi kwa nilivyokuwa Sio kwa ajili yako tuu au mtu mwingine yeyote...
Nimejifunza kuwa mimi nilivyo Na maisha yangu ndiyo yalivyona yameanza kumeremeta [emoji8] Ikiwa unataka nitambae Umechelewa, nimejifunza kuruka sasa.
all we have is now....! Its now or never[emoji177]
Sent using Jamii Forums mobile app