Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

Huyo mtu atakuwa na shida basi, yani niamke kwenye account kuna yangu salio linasoma billion 13. Hivi naanzaje kuwa na makasiriko na huzuni?

Internet ipo ya kutosha, naishi comfortable. Siwazi ada za watoto wala kodi ya nyumba. Siumwi chochote mwili wangu uko sawa.
Haha si ndio kuna watu wanasema hivyo kwamba kuwa tajiri siyo kuwa na furaha, unaweza ukawa na hivyo yote na bado ukawa na huzuni, sasa ndio watuambie huyu mtu anatakiwa afanyaje
 
Nikimqoute kidogo Bwana Maslow's kuna kitu kinaitwa Hierachy of Needs...
1700990052768.png

1700990079810.png

Kwa muktadha huo hapo juu kuna mambo mawili nitakwambia:-

Moja; Kama Jamii tunaweza kutengeneza watu wenye furaha au huzuni kwa kuhakikisha wana au hawana basic needs, bila basic needs mtu huwezi ukafikia your full potential na binadamu kama social beings wewe kushindwa kwako ku-provide kwa wategemezi utakosa respect jambo ambalo haliwezi likakupa furaha....

Mbili: Tatizo watu wengi wanategemea furaha zao kwa mtu mwingine; mzazi anategemea mtoto wake awe kama vile yeye anavyotaka kwenye akili zake akienda tofauti anapata huzuni, mtu anategemea apendwe na mtu fulani na kuwa nae huyo mtu ndio furaha yake akipigwa chini au huyo akiondoka anapata depression; Laiti kama hawa watu wangejua kwamba those we love the most hurt us the most..., na binadamu sio perfect na wataku-disappoint basi wasingeweka mategemeo ambayo hayapo sababu wangejua haya mambo ni inevitable hence wange-enjoy today and let tomorrow take care of itself....

Kwahio As the Wise saying goes..., Blessed is He who expects nothing, for he shall Never be Disappointed....; kwahio wewe fanya good things sababu they are good deeds sio sababu kesho au keshokutwa utarudishiwa fadhila au kupata appreciation....
1700990695193.png

With that Motto you will always be a Happy Go Lucky Guy
 
Attachments

  • 1700987878096.png
    1700987878096.png
    759.1 KB · Views: 4
Mimi nadhani sisi binadamu hatukuumbwa tuje kupata furaha hapa duniani..!

Ndio maana tangu siku unapozaliwa, kwanza unaanza kulia, na ukija kuangalia kila kitu kilichopo hapa duniani kipo against na wewe. Kuanzia wazazi, ndugu, jamaa, mazingira, na wanyama wengine, wadudu, bacteria nk yaani viumbe wote waliopo duniani wapo against na wewe na ukikaa vibaya wanaweza kukuua! Hata hiyo gari yako unayoipenda nayo inakulia timing tu kuna siku ukiingia kwenye 18 inakumaliza!!

Ili kupata chembe ya furaha hapa duniani, kikubwa ni kujitambua kwamba YOU ARE ALONE! IT IS YOU AGAINST THE WORLD! Usitegemee mtu, kitu, au chochote kikupe furaha.
 
Basi tumeumbwa tofauti sana yani, mimi kuna mambo nayataka maishani nikifanikiwa hayo wala sitohangaika tena. Ni kula bata hadi uzee tu na kubwa kuliko ni "Mpunga" au "Pesa" ya uhakika hilo ndio la muhimu.

Hayo mengineyo yatakuja yenyewe tu as long as grassess are greener.
Ukizipata utatamani ziendelee kuwepo ule mchakato wa wewe kutaka kumaintain hiyo cash flow ndo utakaokuonesha kwamba furaha haidumu.
Utakua na fedha na kila kitu lakini unaweza kupata ulemavu wa kudumu ambapo denial tu itakuondolea furaha ukishaaccept hali furaha ndo inarudi.

Au ukishakua na pesa pengine kiafya uko sawa bila shida yeyote utaanza kutamani madaraka ule mchakato wa wewe kuwaza kushindwa au kushinda tayari inakuondolea furaha ! Angalia mtu kama Raila Odinga Pesa ipo tena ya kutosha ila kitendo cha yeye kukosa Urais zaidi ya mara mbili hii kitu inamkosesha raha kabisa 😂😂 na anataka kugombea tena
 
Basi tumeumbwa tofauti sana yani, mimi kuna mambo nayataka maishani nikifanikiwa hayo wala sitohangaika tena. Ni kula bata hadi uzee tu na kubwa kuliko ni "Mpunga" au "Pesa" ya uhakika hilo ndio la muhimu.

Hayo mengineyo yatakuja yenyewe tu as long as grassess are greener.
Hio Pesa ya uhakika utakayopata ya kula Bata hizo Bata utazila wapi ?

Sababu kama simu yako contacts ni kina Roman, Putin, na Ma-Prince wa huko Saudia nadhani huenda apartment yako itakuwa Monaco na ni member wa golf-course ambayo fees ya wiki tu inaweza kuleta dent kwenye pesa yako na kubakiza robo tatu...

Cha maana kwanza ni kujua hizo bata unazitoka ni za gharama ipi na kwanini unazitaka hizo.., na hao ambao unakula nao leo ukipata hizo pesa (build different connection) je utaendelea kufurahia hizo bata..., Sababu kama ni Status na unataka kuwa a Big Fish there are always bigger fish out there and the more you grow you move into different ponds...

Life is a Journey not destination, lakini kama furaha yako ni kuongeza zero's kwenye savings zako basi huenda furaha ipo katika utafutaji wako wa hizo faranga ila sio matumizi (sababu huenda katika matumizi furaha yako ikategemea huwa na fulani beside you ambaye huenda akakukataa)
 
Hivi kwa mfano mtu alikuwa hataki ndoa akidhani kwamba akiwa single atakuwa na furaha,
Naam enhee..?
matokeo yake akaikosa hiyo furaha akaamua kuingia kwenye ndoa sababu anaamini labda huko ndiko ataipata furaha, ila cha ajabu huko nako anakosa furaha
Yaani hiyo ni uthibitisho kwamba furaha hapo kwenye vitu ambavyo tunatarajia vitupe furaha.

Kama umepata furaha kwa sababu umeoa,au umenunua gari au nyumba basi tambua kwamba hiyo furaha uliyonayo sio kwa sababu ya hivyo vitu ulivyovipata bali ni kwa sababu ya wewe umeamua kufurahi kupitia hivyo vitu.

Kama ingelikuwa ni kweli kwamba furaha inatokana na vitu basi mtu huyo angekuwa na furaha muda wote ambao yuko na hicho kitu,lakini hali inakuwa tofauti hiyo ina maana ya kwmaba hivyo gitu VIMESHINDWA KULETA FURAHA KWAKE YEYE.
huyu mtu anatakiwa afanyaje
Kwanza anatakiwa afahamu kwamba furaha yake ni jukumu lake,na wala furaha yake sio jukumu la ndoa,au nyumba,au utajiri.

Utajiri,ndoa,mwenza,nyumba,pesa n.k hayo yote usiyabebeshe majukumu ya kukupa furaha,hayo yako neutral wala hayahusiki na furaha yake.

Bali yeye sasa ndio anatakiwa ajifurahishe kwa vitu ambavyo yuko navyo na sio kujifurahisha kwa vitu ambavyo angetamani avipate.

Anajifurahisha vipi ? Tutaona huko chini ila kwa ufupi ni KUSHUKURU au gratitude pamoja na tafakuri ya neema hizo.
Au mtu alikuwa masikini na akawa hana furaha, hivyo akawa anahangaika kutafuta utajiri akidhani kwamba akiwa tajiri ndio atakuwa na furaha, matokeo yake akawa tajiri ila akaikosa hiyo furaha aliyokuwa anaitafuta huyu mtu anatakiwa afanyaje
Yaani pia hiyo ni uthibitisho kwamba pesa haileti furaha,bali wewe mwenyewe namna ulivyo ndio unaleta furaha.

Kama hauna pesa unaweza kudhani kwamba ukizipata utakuwa na furaha,ila cha ajabu ukishazipata tu baada ya siku kadhaa unaanza kuona ni jambo la kawaida sana,taratibu utaanza kuona ni jambo la kawaida,hiyo itafanya urudi katika system ya zamani na utaanza kuwa bored na maisha.
ikiwa kila kitu pamoja na kinyume chake vyote havina furaha, mtu atatakiwa achague kipi
Mtu atatakiwa achague kuishi katika hali ambayo yuko nayo wakati huo kwa sababu sote tunaishi sasa hivi.

SOte tunaishi sasa hivi ndio maana tunavuta pumzi sasa hivi ili tuendelee kusihi.

HIvyo hata furaha ni makosa kuisubirisha wakati ujao ukipata jambo fulani wakati furaha unatakiwa uiishi sasa hivi na sio baada ya kupata jambo hilo.

Mtu mzima anaweza ku experience furaha.
Mtu mlemavu wa macho anaweza ku experience furaha.
Mtoto mdogo anaweza kuexperience furaha.
kIjana na mzee wanaweza ku experience furaha.
Mwanaume anaweza ku experience furaha
Mwanamke anaweza ku experience furaha.

NINI MAANA YANGU ?

maana yangu ni kwamba kila mtu hapo juu ni tofauti na mwingine na utakuta alichonacho huyu mwingine hana lakini je KWA NINI WOTE WANAWEZA KU EXPERIENCE FURAHA LICHA YA TOFAUTI ZAO ?
jawabu ni kwamba wataexperience furaha pale ambapo wataanza ksuhukuru na kuona umuhimu wa vile vitu au hali ambazo WAKO NAZO KWA WAKATI HUO,na sio kwa vitu au hali ambazo wanazitamani za baadae.

Ya kuandika ni mengi sana ila tuanze hapo tu mkuu kama kuna swali sehemu naomba uulize mkuu..
 
Hio Pesa ya uhakika utakayopata ya kula Bata hizo Bata utazila wapi ?

Sababu kama simu yako contacts ni kina Roman, Putin, na Ma-Prince wa huko Saudia nadhani huenda apartment yako itakuwa Monaco na ni member wa golf-course ambayo fees ya wiki tu inaweza kuleta dent kwenye pesa yako na kubakiza robo tatu...

Cha maana kwanza ni kujua hizo bata unazitoka ni za gharama ipi na kwanini unazitaka hizo.., na hao ambao unakula nao leo ukipata hizo pesa (build different connection) je utaendelea kufurahia hizo bata..., Sababu kama ni Status na unataka kuwa a Big Fish there are always bigger fish out there and the more you grow you move into different ponds...

Life is a Journey not destination, lakini kama furaha yako ni kuongeza zero's kwenye savings zako basi huenda furaha ipo katika utafutaji wako wa hizo faranga ila sio matumizi (sababu huenda katika matumizi furaha yako ikategemea huwa na fulani beside you ambaye huenda akakukataa)
Umefafanua vizuri sana mkuu.

Binafsi natamani niww tajiri ambaye mimi tu ndio najijua kwamba ni tajiri.

Alafu baada ya utajiri huo niwe mtu ambaye niko free najichanganya mtaani kama nilivyo leo,naenjoy na washikaji kikawaida tuuuu.

Ila maisha ya kina bakhresa na mo dewji hawawezi leo kujichanganya mtaani na washikaji na kuishi maisha fulani hivi ya kushirikiana na watu wa mtaani(mtaa wenyewe mageti makali tu).
 
Haha si ndio kuna watu wanasema hivyo kwamba kuwa tajiri siyo kuwa na furaha, unaweza ukawa na hivyo yote na bado ukawa na huzuni, sasa ndio watuambie huyu mtu anatakiwa afanyaje
Kabisa mkuu,hakuna kitu ambacho ni guaranteed kwamba hiki ni chanzo cha furaha zaidi ya furaha yenyewe.

Hivyo kwanza atambue hilo kwamba furaha haitokani na vitu japokuwa ni ukweli mgumu kuukubali,ila hiyo ni hatua ya mwanzo,ukishakubali hilo utaona kwamba kumbe hata kuitafuta kwangu gari ili nipate furaha ni SCAM..

mtu anatakiwa atafute kitu fulani sio kwa sababu kitampa furaha bali ni kwa sababu kitampatia huduma ambayo kitu hicho inatoa,ukishafanya hivyo na ukaweka muda wa kukumbuka huduma ambayo unaipata kwa hicho kitu na ukashukuru basi taratibu utaanza kuiona furaha.

Furaha ni tabia inayotegemea mfumo wa maisha,hivyo ili idumu furaha basi ni lazima uwe na tabia fulani za kudumu kama tabia ya kushukuru pamoja na kutafakari
 
Kwa nature kubwa ya sisi binadamu furaha zetu ni kuona tumefanikiwa Kiuchumi, kijamii Kiafya na kifamilia,
Ukweli ni kwamba ukiwa na hayo yote
Huku unamwabudu Mungu wako kwa roho na kweli...furaha ni haki yako.

Furaha za watu wengi hupotea pale ambapo hawana fedha, jamii na familia haiwadhamini na hivyo kupelekea ku lack happiness na hatimae sura kukosa nuru
 
Hio Pesa ya uhakika utakayopata ya kula Bata hizo Bata utazila wapi ?

Sababu kama simu yako contacts ni kina Roman, Putin, na Ma-Prince wa huko Saudia nadhani huenda apartment yako itakuwa Monaco na ni member wa golf-course ambayo fees ya wiki tu inaweza kuleta dent kwenye pesa yako na kubakiza robo tatu...

Cha maana kwanza ni kujua hizo bata unazitoka ni za gharama ipi na kwanini unazitaka hizo.., na hao ambao unakula nao leo ukipata hizo pesa (build different connection) je utaendelea kufurahia hizo bata..., Sababu kama ni Status na unataka kuwa a Big Fish there are always bigger fish out there and the more you grow you move into different ponds...

Life is a Journey not destination, lakini kama furaha yako ni kuongeza zero's kwenye savings zako basi huenda furaha ipo katika utafutaji wako wa hizo faranga ila sio matumizi (sababu huenda katika matumizi furaha yako ikategemea huwa na fulani beside you ambaye huenda akakukataa)
Maisha haya haya tu kibongo bongo
 
Mimi nadhani sisi binadamu hatukuumbwa tuje kupata furaha hapa duniani..!

Ndio maana tangu siku unapozaliwa, kwanza unaanza kulia, na ukija kuangalia kila kitu kilichopo hapa duniani kipo against na wewe. Kuanzia wazazi, ndugu, jamaa, mazingira, na wanyama wengine, wadudu, bacteria nk yaani viumbe wote waliopo duniani wapo against na wewe na ukikaa vibaya wanaweza kukuua! Hata hiyo gari yako unayoipenda nayo inakulia timing tu kuna siku ukiingia kwenye 18 inakumaliza!!

Ili kupata chembe ya furaha hapa duniani, kikubwa ni kujitambua kwamba YOU ARE ALONE! IT IS YOU AGAINST THE WORLD! Usitegemee mtu, kitu, au chochote kikupe furaha.
hahahahahah comment ako inachekesha ila umeongea kwelii mkuu...
 
Back
Top Bottom