Huzuni sana! Mama yake na Niffer aangua kilio baada ya mwanae kurudishwa mahabusu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Huyo mama naye akaze kidogo, nchi nzima ipo kwenye majonzi. Ashukuru yeye binti wake yupo hai na wameweza kuangaliana na labda hata kusalimiana hapo Mahakamani, wengine hata hawajui ndugu zao walipo.
 
Huu uonevu unaenda kuisha very soon....GEN-Z wameapa kulinda Rasimali zao ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira.
Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?

Halafu baada ya kuzilinda hizo mali hao Gen-Z ndo wamkabidhi nani? Lissu, Heche,Maria au ? Je wanao kabidhiwa ni watu wangapi wanao wakubali kama ikitokea hawa wametoka? Na je wanaokuja ikitokea kwa huu mgawanyiko wa maeneo,imani kuna dawa gani ya kutibu na hao GEN-Z matumaini yao nani katoa ahadi kuyatimiza?
Je hawa kama mtawatoa mna uhakika gani anaekuja labda nae akatolewa na sababu zinaweza zikawa zina mashiko au hakuna, maana tumefika sehemu mtu akutaki sio umefanya labda baya sana ni labda mnapishana imani tu au eneo utokalo, je tumeanza kuweka mifano na taratibu gani kama Taifa?
Na kundi kubwa kiasi linalo amini utawala huu unaweza kuwa una changamoto lakini zimezidishwa na makundi hasa kutoka kwenye taasisi za dini , Je hawa nani atazima hizo hisia zao ( sisemi ni sahihi au sio sahihi) maana zikikua na zikataka kulipa kisasi balaa lake linaweza kuwa siyo dogo

Napiga Ramli tu mambo hayatakaa sawa maana jamii yetu kama nchi Ina mitego mingi ya kutunasa kuliko hata majirani zetu maana sie kuna
External forces = Rasilimali hizi zinatazamwa ili zivunwe na mabeberu kwa kusaidiana na jirani
Mfano nimefanya kazi na jirani zetu na hasa hao tunaosema sasa ndo ndugu zetu sijawahi ona upendo wao labda hiki kizazi chao cha Gen-z lkn wale millennials wenzetu wanatuona sisi ni primitive na watu goigoi na hawana upendo huo kwetu ,wachache mnaweza kukumbuka muungano wa KQ na Precision Air walivyo sabotage hilo shirika la Precision lisisimame kwa ukanda huu ili lisije shindana na Kenya Airways

Internal forces- udini, matabaka (wenye nacho na wasio nacho) siasa (mifumo haipo imara)

Tuwe smart ili tutoke hapa ni jukumu la kulinda amani ni letu sote na tukizama tunazama wote
 
Naona unabwabwaja tu, hakuna lolote la maana unaongea.

Unahoji eti rasilimali kukabidhiwa wengine utadhani nyie pekee ndio mlizaliwa mtutawale wakati kwa miaka 60 hakuna mlilofanya. Leo mnaaminisha watu bodaboda ni ajira rasmi maana mmeshindwa kutengeneza ajira.

Unaongelea hatari za kidini wakati ni nyie mnatuma wahuni walete hizo chokochoko za kidini.

Shenzi zenu.
 
Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?

Halafu baada ya kuzilinda hizo mali hao Gen-Z ndo wamkabidhi nani? Lissu, Heche,Maria au ? Je wanao kabidhiwa ni watu wangapi wanao wakubali kama ikitokea hawa wametoka? Na je wanaokuja ikitokea kwa huu mgawanyiko wa maeneo,imani kuna dawa gani ya kutibu na hao GEN-Z matumaini yao nani katoa ahadi kuyatimiza?
Je hawa kama mtawatoa mna uhakika gani anaekuja labda nae akatolewa na sababu zinaweza zikawa zina mashiko au hakuna, maana tumefika sehemu mtu akutaki sio umefanya labda baya sana ni labda mnapishana imani tu au eneo utokalo, je tumeanza kuweka mifano na taratibu gani kama Taifa?
Na kundi kubwa kiasi linalo amini utawala huu unaweza kuwa una changamoto lakini zimezidishwa na makundi hasa kutoka kwenye taasisi za dini , Je hawa nani atazima hizo hisia zao ( sisemi ni sahihi au sio sahihi) maana zikikua na zikataka kulipa kisasi balaa lake linaweza kuwa siyo dogo

Napiga Ramli tu mambo hayatakaa sawa maana jamii yetu kama nchi Ina mitego mingi ya kutunasa kuliko hata majirani zetu maana sie kuna
External forces = Rasilimali hizi zinatazamwa ili zivunwe na mabeberu kwa kusaidiana na jirani
Mfano nimefanya kazi na jirani zetu na hasa hao tunaosema sasa ndo ndugu zetu sijawahi ona upendo wao labda hiki kizazi chao cha Gen-z lkn wale millennials wenzetu wanatuona sisi ni primitive na watu goigoi na hawana upendo huo kwetu ,wachache mnaweza kukumbuka muungano wa KQ na Precision Air walivyo sabotage hilo shirika la Precision lisisimame kwa ukanda huu ili lisije shindana na Kenya Airways

Internal forces- udini, matabaka (wenye nacho na wasio nacho) siasa (mifumo haipo imara)

Tuwe smart ili tutoke hapa ni jukumu la kulinda amani ni letu sote na tukizama tunazama wote
Takataka hii🚮🚮🤮🤮
 
Mbona kama unajichanganya.

Kinachopiganiwa na GEN Z sio lissu, Wala CHADEMA, kinapiganiwa ni mageuzi ya Kimifumo na Utawala.

Kwa kutaja baadhi ni, Tume huru ya Uchaguzi, Katiba mpya itakayo punguza madaraka ya Raisi na Kuweka Uhuru wa mahakama, Pia kuwe na mizani sawa kwa vyama vyote na watu wote kufanya siasa, Pamoja na uhuru wa kutoa maoni.

Hivi vitu vikikaa kwenye mstari, Vingine vyote vinafata.

Atakar chaguliwa na Watu iwe wa CCM, CHADEMA AU ACT ndio anatakiwa atangazwe na aongoze bila mizengwe. Na kama mtu amechaguliwa na watu seruous hawezi kuleta mchezo kwenye kazi maana anajua miaka 5 sio mbali watu wanaweza kumchagua mwingine
 
Lau kama wanadamu tungekuwa tunakikumbuka KIFO, kwamba kuna siku utakufa mali za dhuluma, uonevu, ubabe na kila kitu utaviacha, basi kuna namna tungekuwa wema sana
Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikali
Ni sawa na sasa wewe utangaze kuuza bullet proof 9D,means unawawezesha wahaini
Tatizo gen z wanadhani unaweza sema chochote popote
 
Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer.

Soma Pia: Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuhairishwa hadi Novemba 11, 2025

View attachment 3507466
Watu waache unyonge wa kulialia. Vita dhidi ya Ibilisi havipiganwi kwa kuonesha unyonge!
 
Back
Top Bottom