Na wewe njo jichanganye D 9, utatoka tayari umeshakuwa make wa mnu na utapendeza kama top model!Kashape kapungue kidogo
Na wewe njo jichanganye D 9, utatoka tayari umeshakuwa make wa mnu na utapendeza kama top model!Kashape kapungue kidogo
Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikali
Ni sawa na sasa wewe utangaze kuuza bullet proof 9D,means unawawezesha wahaini
Tatizo gen z wanadhani unaweza sema chochote popote
Dogo akitoka atangaze kuuza bullet proof na helmet,
Chizi anachekesha akiwa sio mwanao.Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikali
Ni sawa na sasa wewe utangaze kuuza bullet proof 9D,means unawawezesha wahaini
Tatizo gen z wanadhani unaweza sema chochote popote
Mkuu mengi umenijibu sawa na kwa mtililiko mzuri tuUmeongea vizuri Sana. Naomba nikujibu kama ifuatavyo:-
1. Gen-Z wanachotaka kilio Chao ni rasilimali za nchi zisimamiwe vizuri ili kuleta fursa za Ajira na Maisha Bora kwa Kila mtanzania kuanzia huduma za jamii Afya, Elimu, Maji, Barabara, n.k.
2. Nikukumbushe tu enzi za Awamu ya JPM alishawahi kushikilia mchanga wa makinikia wa dhahabu, unafikiri kwa Nini alifanya hivyo? Kwanini unafikiri alisema Kwamba Kuna mikataba mingi sana imesainiwa katika sekta ya madini isiyokuwa na tija hadi akasema ni kichaa tu pekee ndiye anaweza kusaini hiyo mikataba???
3. Wewe unafikiri utawala wa Sasa unasimamia Rasimali za Nchi hii ipasavyo? Je, zinawanufaisha wananchi ipasavyo? Je zinawaongezea fursa za Ajira wananchi? Je wananchi wanaozunguka Rasimali hizi zinawanufaisha?
4. Utawala wa Sasa lazima ukae pembeni maana umeshindwa kutatua kero za wananchi kwa kuwapa Maisha Bora na kutengeneza fursa za Ajira kupitia rasilimali za nchi zilizopo ambazo hazimnufaishi mtu wa kawaida ila viongozi wa Serikali.
5. Wewe unaona sawa Binti wa Mkurugenzi anayetakiwa KUSIMAMIA usalama wa rasilimali za nchi akitamba kutuonesha vibunda vya $ laki 3 mitandaoni na Rolls Royce halafu unatagemea nyoka wake wawe wazalendo wa nchi kulinda Amani huku wao wakijinufaisha.
6. Hujiulizi kwa Nini nchi kama za waarabu Wana mikataba Bora Sana ya KUSIMAMIA rasilimali zao za mafuta na kunufaisha wananchi wao kupitia win win situation lakini watanzania tunaishia kuwa masikini na Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu.
7. Kuhusu uongozi wa nchi nani atatawala. Tatizo siyo nani atatawala tatizo ni hii katiba tuliyonayo haiwawajibishi viongozi serikalini na pia mifumo ya nchi yetu ni mibovu ya KUSIMAMIA RASIMALI za nchi kwanini mikataba ya rasillmali za nchi isainiwe gizani? Nini kinafichwa...kwanini hii mikataba isiwe public documents maana inahusu KUSIMAMIA RASIMALI za nchi na kwanini tusiwe na state owned enterprise itakayosimamia Rasimali za Nchi. Wewe unafikiri kwanini JPM alijenga ukuta kuzunguka madini ya Tanzania kule Mererani??? Sasa hivi Tanzania yetu Haina Imani hata na JW kuhusu nani atatawala tunaweza tukawa na Serikali ya mpito itakayoundwa na watu waadilifu ambao siyo lazima wawe wanasiasa hata wewe unaweza ukawa mmojawapo wa hiyo Serikali ya mpito ili tuweke mifumo Bora ya utawala Bora na Uchaguzi uwe huru usioleta manunguniko kwa wananchi na Rais ashitakiwe na ikibidi anyongwe pale anapochezea Rasimali za nchi mbona China na Asian Tigers countries wameweza kwanini sisi tushindwe???
8. Hakuna Serikali yeyote duniani ilishawahi kushinda nguvu ya umma, Gen-Z ni nguvu ya umma Sasa kama unafikiri Kuteka na Kuua watu ndiyo njia sahihi itafikia hatua hata hao wauaji watashindwa kutekeleza hizo order za watawala za kuwaua watanzania wenzao. Tukifika hapo utajua Nini kitakachotokea.
Chao
Sijachanganya kitu mkuuMbona kama unajichanganya.
Kinachopiganiwa na GEN Z sio lissu, Wala CHADEMA, kinapiganiwa ni mageuzi ya Kimifumo na Utawala.
Kwa kutaja baadhi ni, Tume huru ya Uchaguzi, Katiba mpya itakayo punguza madaraka ya Raisi na Kuweka Uhuru wa mahakama, Pia kuwe na mizani sawa kwa vyama vyote na watu wote kufanya siasa, Pamoja na uhuru wa kutoa maoni.
Hivi vitu vikikaa kwenye mstari, Vingine vyote vinafata.
Atakar chaguliwa na Watu iwe wa CCM, CHADEMA AU ACT ndio anatakiwa atangazwe na aongoze bila mizengwe. Na kama mtu amechaguliwa na watu seruous hawezi kuleta mchezo kwenye kazi maana anajua miaka 5 sio mbali watu wanaweza kumchagua mwingine
Samia atakufa vibaya,mwaache awatese Watanganyika.Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer.
Soma Pia: Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuhairishwa hadi Novemba 11, 2025
View attachment 3507466
genz ni weziHuu uonevu unaenda kuisha very soon....GEN-Z wameapa kulinda Rasimali zao ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira.
watu wanajua wanchokifanya, mpaka anauza barakao anajua exactly anachokifanya hivo every action has its consequencesAnaweza kua amekosea lkn sio kosa la uhaini buda, Ahukumiwe kulingana na Uzito wa Makosa aliyo Fanya.
Kama kuuza barakoa ni kosa la uhaini, Vipi shekhe alie sema atahakikisha watu wanakatana vichwa D9? Kuna utofauti gani na kauli ya Lissu ya tutakinukisha? Umeona hata kuna mtu anamtafuta ampe kesi ya Uhaini?
Hizi minzani ambazo haziko sawa katika kutoa haki, kina siku zitakuja kuwqrudia ndo mtajua Madhara yake.
Hata pole pole alikua afikirii kama kuna siku serikali ya CCM ingemteka, Au Ndugai alikua afikilii kama kuna siku angekua bubu bungeni na kwenye chama na wengine wengi tuu
Gen z Wana mapungufu mengi, wanadhani wako huru kufanya na kusema chochote, ndiyo maana Tyson alimtia makonde gen z ndani ya ndegeChizi anachekesha akiwa sio mwanao.
Ambulance inapiga sana kelele ikiwa mgonjwa wa mule hakuhusu.
nifa ni mtu mzima anajua alichokua anakifanya, hakuna haja ya kufanya mdahalo uwe mrefu, let her face her consequencesChizi anachekesha akiwa sio mwanao.
Ambulance inapiga sana kelele ikiwa mgonjwa wa mule hakuhusu.