Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wanataka ndo awe kete ya MashaurianoNiffer atakaa kaa ndani kidogo
Kashape kapungue kidogoNiffer atakaa kaa ndani kidogo
Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?Huu uonevu unaenda kuisha very soon....GEN-Z wameapa kulinda Rasimali zao ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira.
Naona unabwabwaja tu, hakuna lolote la maana unaongea.Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?
Halafu baada ya kuzilinda hizo mali hao Gen-Z ndo wamkabidhi nani? Lissu, Heche,Maria au ? Je wanao kabidhiwa ni watu wangapi wanao wakubali kama ikitokea hawa wametoka? Na je wanaokuja ikitokea kwa huu mgawanyiko wa maeneo,imani kuna dawa gani ya kutibu na hao GEN-Z matumaini yao nani katoa ahadi kuyatimiza?
Je hawa kama mtawatoa mna uhakika gani anaekuja labda nae akatolewa na sababu zinaweza zikawa zina mashiko au hakuna, maana tumefika sehemu mtu akutaki sio umefanya labda baya sana ni labda mnapishana imani tu au eneo utokalo, je tumeanza kuweka mifano na taratibu gani kama Taifa?
Na kundi kubwa kiasi linalo amini utawala huu unaweza kuwa una changamoto lakini zimezidishwa na makundi hasa kutoka kwenye taasisi za dini , Je hawa nani atazima hizo hisia zao ( sisemi ni sahihi au sio sahihi) maana zikikua na zikataka kulipa kisasi balaa lake linaweza kuwa siyo dogo
Napiga Ramli tu mambo hayatakaa sawa maana jamii yetu kama nchi Ina mitego mingi ya kutunasa kuliko hata majirani zetu maana sie kuna
External forces = Rasilimali hizi zinatazamwa ili zivunwe na mabeberu kwa kusaidiana na jirani
Mfano nimefanya kazi na jirani zetu na hasa hao tunaosema sasa ndo ndugu zetu sijawahi ona upendo wao labda hiki kizazi chao cha Gen-z lkn wale millennials wenzetu wanatuona sisi ni primitive na watu goigoi na hawana upendo huo kwetu ,wachache mnaweza kukumbuka muungano wa KQ na Precision Air walivyo sabotage hilo shirika la Precision lisisimame kwa ukanda huu ili lisije shindana na Kenya Airways
Internal forces- udini, matabaka (wenye nacho na wasio nacho) siasa (mifumo haipo imara)
Tuwe smart ili tutoke hapa ni jukumu la kulinda amani ni letu sote na tukizama tunazama wote
Takataka hii🚮🚮🤮🤮Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?
Halafu baada ya kuzilinda hizo mali hao Gen-Z ndo wamkabidhi nani? Lissu, Heche,Maria au ? Je wanao kabidhiwa ni watu wangapi wanao wakubali kama ikitokea hawa wametoka? Na je wanaokuja ikitokea kwa huu mgawanyiko wa maeneo,imani kuna dawa gani ya kutibu na hao GEN-Z matumaini yao nani katoa ahadi kuyatimiza?
Je hawa kama mtawatoa mna uhakika gani anaekuja labda nae akatolewa na sababu zinaweza zikawa zina mashiko au hakuna, maana tumefika sehemu mtu akutaki sio umefanya labda baya sana ni labda mnapishana imani tu au eneo utokalo, je tumeanza kuweka mifano na taratibu gani kama Taifa?
Na kundi kubwa kiasi linalo amini utawala huu unaweza kuwa una changamoto lakini zimezidishwa na makundi hasa kutoka kwenye taasisi za dini , Je hawa nani atazima hizo hisia zao ( sisemi ni sahihi au sio sahihi) maana zikikua na zikataka kulipa kisasi balaa lake linaweza kuwa siyo dogo
Napiga Ramli tu mambo hayatakaa sawa maana jamii yetu kama nchi Ina mitego mingi ya kutunasa kuliko hata majirani zetu maana sie kuna
External forces = Rasilimali hizi zinatazamwa ili zivunwe na mabeberu kwa kusaidiana na jirani
Mfano nimefanya kazi na jirani zetu na hasa hao tunaosema sasa ndo ndugu zetu sijawahi ona upendo wao labda hiki kizazi chao cha Gen-z lkn wale millennials wenzetu wanatuona sisi ni primitive na watu goigoi na hawana upendo huo kwetu ,wachache mnaweza kukumbuka muungano wa KQ na Precision Air walivyo sabotage hilo shirika la Precision lisisimame kwa ukanda huu ili lisije shindana na Kenya Airways
Internal forces- udini, matabaka (wenye nacho na wasio nacho) siasa (mifumo haipo imara)
Tuwe smart ili tutoke hapa ni jukumu la kulinda amani ni letu sote na tukizama tunazama wote
Lakini chonde hao GEN-Z kama mnawajua watu wanao chukua/iba mali zenu? Why ukaibe, ukachome na kuharibu baadhi ya mali ya Mtanzania mwenzako wa kawaida tu anae jitafuta ,why?
Halafu baada ya kuzilinda hizo mali hao Gen-Z ndo wamkabidhi nani? Lissu, Heche,Maria au ? Je wanao kabidhiwa ni watu wangapi wanao wakubali kama ikitokea hawa wametoka? Na je wanaokuja ikitokea kwa huu mgawanyiko wa maeneo,imani kuna dawa gani ya kutibu na hao GEN-Z matumaini yao nani katoa ahadi kuyatimiza?
Je hawa kama mtawatoa mna uhakika gani anaekuja labda nae akatolewa na sababu zinaweza zikawa zina mashiko au hakuna, maana tumefika sehemu mtu akutaki sio umefanya labda baya sana ni labda mnapishana imani tu au eneo utokalo, je tumeanza kuweka mifano na taratibu gani kama Taifa?
Na kundi kubwa kiasi linalo amini utawala huu unaweza kuwa una changamoto lakini zimezidishwa na makundi hasa kutoka kwenye taasisi za dini , Je hawa nani atazima hizo hisia zao ( sisemi ni sahihi au sio sahihi) maana zikikua na zikataka kulipa kisasi balaa lake linaweza kuwa siyo dogo
Napiga Ramli tu mambo hayatakaa sawa maana jamii yetu kama nchi Ina mitego mingi ya kutunasa kuliko hata majirani zetu maana sie kuna
External forces = Rasilimali hizi zinatazamwa ili zivunwe na mabeberu kwa kusaidiana na jirani
Mfano nimefanya kazi na jirani zetu na hasa hao tunaosema sasa ndo ndugu zetu sijawahi ona upendo wao labda hiki kizazi chao cha Gen-z lkn wale millennials wenzetu wanatuona sisi ni primitive na watu goigoi na hawana upendo huo kwetu ,wachache mnaweza kukumbuka muungano wa KQ na Precision Air walivyo sabotage hilo shirika la Precision lisisimame kwa ukanda huu ili lisije shindana na Kenya Airways
Internal forces- udini, matabaka (wenye nacho na wasio nacho) siasa (mifumo haipo imara)
Tuwe smart ili tutoke hapa ni jukumu la kulinda amani ni letu sote na tukizama tunazama wote
Dogo akitoka atangaze kuuza bullet proof na helmet,Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer.
Soma Pia: Niffer na wenzake wakirejeshwa rumande baada ya kesi ya uhaini inayowakabili kuhairishwa hadi Novemba 11, 2025
View attachment 3507466
Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikaliLau kama wanadamu tungekuwa tunakikumbuka KIFO, kwamba kuna siku utakufa mali za dhuluma, uonevu, ubabe na kila kitu utaviacha, basi kuna namna tungekuwa wema sana
Watu waache unyonge wa kulialia. Vita dhidi ya Ibilisi havipiganwi kwa kuonesha unyonge!Mama mzazi wa Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) ameshindwa kujizuia na kuangua kilio baada ya mwanae kurudishwa rumande kutokana na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuonyesha nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yanayomkabili Niffer.