Huzuni sana! Mama yake na Niffer aangua kilio baada ya mwanae kurudishwa mahabusu

Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikali
Ni sawa na sasa wewe utangaze kuuza bullet proof 9D,means unawawezesha wahaini
Tatizo gen z wanadhani unaweza sema chochote popote

Anaweza kua amekosea lkn sio kosa la uhaini buda, Ahukumiwe kulingana na Uzito wa Makosa aliyo Fanya.

Kama kuuza barakoa ni kosa la uhaini, Vipi shekhe alie sema atahakikisha watu wanakatana vichwa D9? Kuna utofauti gani na kauli ya Lissu ya tutakinukisha? Umeona hata kuna mtu anamtafuta ampe kesi ya Uhaini?

Hizi minzani ambazo haziko sawa katika kutoa haki, kina siku zitakuja kuwqrudia ndo mtajua Madhara yake.

Hata pole pole alikua afikirii kama kuna siku serikali ya CCM ingemteka, Au Ndugai alikua afikilii kama kuna siku angekua bubu bungeni na kwenye chama na wengine wengi tuu
 
Huyo binti akili hana,kutangaza barakoa zitakazozuia mabomu ya machozi ni kuunga mkono vurugu dhidi ya serikali
Ni sawa na sasa wewe utangaze kuuza bullet proof 9D,means unawawezesha wahaini
Tatizo gen z wanadhani unaweza sema chochote popote
Chizi anachekesha akiwa sio mwanao.
Ambulance inapiga sana kelele ikiwa mgonjwa wa mule hakuhusu.
 
Mkuu mengi umenijibu sawa na kwa mtililiko mzuri tu

Natambua tuna changamoto kubwa na majibu yake na nini kinatakiwa kufanyika umeainisha

Shida yangu sio uhalali wa yanayo takiwa kama nchi kuna mengi yanatakiwa kufanyika ili tupate ile ladha halisi ya uhuru kuanzia wa kisiasa, uchumi na kijamii kuanzia kwa mtu mmoja mmoja mpaka Taifa kwa ujumla

Nacho sema forces za mabadiliko ukitoa Gen-Z nyuma yake kuna misukumo ipi? Ya kina nani? Kwa faida ya nani na makundi gani? Yaani wale wanao gaslight mabadiliko je agenda zao kwa juu zinaonekana za kuleta haki na amani au lakini kuna muda unaona zina hila ndani yake ,na najua hawa wanapata nguvu kutokana na vilio vya changamoto zilizopo kwa sasa kama rushwa,kutekana nk, lakini haizuii kuulizia usafi wao na dhamira yao hao wana manadiliko, kama nilivyosema tumefika mahali kama nchi unaweza kataliwa tu kwa sababu ya eneo na imani yako na si kwamba kuna baya kubwa umefanya.

Mie nina questions hizo dhamira za hao wachochea moto wa hayo mabadiliko (na mostly sio Gen-z) ni watu wazima wanaotoka kwenye vyama vya siasa , wanaharkati na taasisi za dini, ni pure haki au maslahi ya sirini??????
 
Sijachanganya kitu mkuu

Sitaki kuonyesha kama nina underestimate Gen-Z ila nachoweza kusema msukumo wa mambo haya wa mabadiliko (yawe positive au negative) unawashwa na wengine iwe ni kikundi,taasisi za kisiasa au dini na ku manipulate (kwa uzuri au ubaya) kwa kizazi hiki kipya ili kinacholengwa wakiwezeshe kutokea na athari zake ni hivyo hivyo zinaweza kuja kama zilivyokusudiwa ama tofauti
Mfano, mimi naweza kuja kukuambia hauna ajira sababu labda ni serikali inasababisha, huu ni ukweli lakini si ukweli wote , na ukaanza kujenga chuki kwa serikali au kwa kundi unalo ona linasabisha ukose ajira ila hapo hapo kuna kijana kapambaniwa kapata ajira lkn hawajibiki ktk ajira yake kwa labda ulevi na Kamari/li na anapoteza ajira yake lkn huyu nae analaumu kwa kukosa ajira akiwa nyumbani na sababu labda ni matendo yake yanafanya asiweze kuajirika

Kuna vijana wengi wazuri na wana malengo lakini wapo wengi pia wamejiigiza kwenye ulevi wa kupindukia wa pombe, madawa, kamari (betting) na wengine wanasubiri kupendwa na sijui Shangazi na wengine wanaona bora kudanga na hawataki kufanya shughuli nao ni kulalamika hawana ajira na wanataka mabadiliko , sasa hawa ni rahisi kuwa manipulate kwa faida ya makundi nilikutajia,
Vitu havitakuja tu bila kutoka na kufanya vitu sahihi vijana na hasa Gen-Z ( sijasema tupuuze madai ya msingi)
 
watu wanajua wanchokifanya, mpaka anauza barakao anajua exactly anachokifanya hivo every action has its consequences
 
Chizi anachekesha akiwa sio mwanao.
Ambulance inapiga sana kelele ikiwa mgonjwa wa mule hakuhusu.
Gen z Wana mapungufu mengi, wanadhani wako huru kufanya na kusema chochote, ndiyo maana Tyson alimtia makonde gen z ndani ya ndege
 
Seriously Samia inabidi akae na kutafakari kafikaje hapa.

Shida nao awa wanasheria wetu (defence lawyers), serikali inashitaka vijana kama group kwa kosa la uhaini.

Hizo kesi zingekuwa ngumu kama kila mtuhumiwa angekuwa anashitaka lake. Lakini kuwapandisha kizimbani kama group ambalo wame-collude kwa pamoja. Serikali kwanza inatakiwa ithibitishe kama hao watu ata wanajuana. Kitu ambacho hakipo na kuimaliza kesi dakika moja tu.

Like seriously Samia inabidi ajitafakari washauri wake, matatizo kama haya sababu yake ni kuteua AG ambae hana sifa za kumshauri.

Anasikia basi, sikio la kufa.

Unazungumza hadharani time to heal the nation; halafu unashikilia vitoto ambavyo vimeandamana kwa kesi ya uhaini.

How stupid are these people in the government (very if you ask me).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…