Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu shunie kwa kudeka, yaani mtu kamwaga vi mistari kidogo tu, huku anamwaga machozi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu shunie kwa kudeka, yaani mtu kamwaga vi mistari kidogo tu, huku anamwaga machozi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo haya jamani yametokea wapi
HahhahahhaDah, Simba Simba Simba...
Ila watatufuta machozi kwa Kindoki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeanza mambo yakoKwani we huwezi kuswitch ile nyingine?? Oouk kwani anaongelea nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui nijibu nzuri au mbaya yaani sielewi ebu nijibie basi
Hata sijui nijibu nzuri au mbaya yaani sielewi ebu nijibie basi
Hahhahahha
Nini eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti
Sema kweli jamaniiCoastal Union anaweza kukufuta machozi leo.
HahhahaahNini eti
Ndo nimewaambia ivoHahhahaah
Hapana dada kweli bando nilikuwa sina jamani woiiii
Ebu nijibie bwana we mzee ujue huyu platozoom anapenda sana kunichokoza sana tukifungwa kwake anaona raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo nimewaambia ivo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akuje apa hivi na wewe si haohao au leo unajitoa
Mie hata sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe dada jamani hivi unajua huu uzi unahusu nini lakini huyu mzee kufungwa kwetu simba amefurahi sana na kuja kunianzishia uzi
Hahahahah kufungwa kwetu simba anajifanya ananifariji mm sitaki fariji ya kinafki halafu yanga nasikia mmefungwa ukoMie hata sijui