Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, mie Tp Mazembe ,Jana tumempiga mutu 8 - 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akuje apa hivi na wewe si haohao au leo unajitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, mie Tp Mazembe ,Jana tumempiga mutu 8 - 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akuje apa hivi na wewe si haohao au leo unajitoa
Sema kweli jamanii
Kuna nini linamsibu dear wangu Shunie halafu kama umejua hana bando utakua unajua linalomsumbua hebu niambie plz kipenzi SakayoShunie hana bando mkuu... Atakuja usiku au kesho!
Baba paroko jamani hatimaye umerudisha I'd yetu pendwa cc SakayoOhhh noooooo not her, Eh Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kila gumu unalolipitia Shunie
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya Mungu nimecheka sana, akuache maana hata sisi wadau humu ametutingisha kwa hofuWe mzee niacheee na huzuni yangu
Mh mbona nasikia yanga wamefungwa au nimesikia vibayaDakika ya 75, 0 - 0.
Baba paroko wasikupe presha kabisa ningekuwa na tatizo we ungejua kabisaKuna nini linamsibu dear wangu Shunie halafu kama umejua hana bando utakua unajua linalomsumbua hebu niambie plz kipenzi Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata bando sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti
Yule ni bibi ujue,ana 54yrsNipo kwenye huzuni kuu.
Usingizi hauji kabisa namfikiria mahbuba! Popote ulipo Shunie, sema neno moja roho yangu itapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha huyu mzee huwa anafurahi sana simba tukifungwa atanitafuta mpaka anipateHaki ya Mungu nimecheka sana, akuache maana hata sisi wadau humu ametutingisha kwa hofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana....Hahahahah kufungwa kwetu simba anajifanya ananifariji mm sitaki fariji ya kinafki halafu yanga nasikia mmefungwa uko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana shida yoyoteKuna nini linamsibu dear wangu Shunie halafu kama umejua hana bando utakua unajua linalomsumbua hebu niambie plz kipenzi Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mxxiuuue kwahiyo siku zote hulalagi usingizi mtamu au kujidaiPoleni sana....
Jana nililala usingizi mtamuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana shida yoyote
Ni mapenzi yake na 5imba tuu.... Kagoma kuweka bando
Nimeshangaa wakati leo asubuhi ulikuja kanisani na hukuniambia kituBaba paroko wasikupe presha kabisa ningekuwa na tatizo we ungejua kabisa