Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848][emoji848]We mzee niacheee na huzuni yangu
Milimani uko usambaani
Auntie upoje lakini[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahahahhah
Niko kama jana, nipo hapa na kijoti chako nakusubiri utokee.Auntie upoje lakini
Sakayo naomba nitumie picha zangu
Shunie ako nazo... Nilipiga aone jezi yangu ya yanga
Hahahaha, kumbe we ni Yanga Africa? Shunie napataje picha hizoShunie ako nazo... Nilipiga aone jezi yangu ya yanga
Ewaaaaa
Tuyaachee hayo.. Nikweli unamajonzi kwan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeanza mambo yako
Naona umenijia na hii ID sasa!Tuyaachee hayo.. Nikweli unamajonzi kwan
Sawa we mzee nitakupeleka jamani milimani
Woiiiiii naona umeamua kujiweka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Abee....
Leo sijapiga picha kabisaaa
Ewaaaaa
Damu yangu ya kijani... Shunie hebu mtumie huyu mhenga mafotoo
Nijikute tu ninywe kijoti nipo na chupa ya kijani hapaNiko kama jana, nipo hapa na kijoti chako nakusubiri utokee.
Jamani we mzee