Huzuni yangu!!

Huzuni yangu!!

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Tangu february nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa ambapo vyombo ya kimagharibi vinadai kuwa majeshi tiifu kwa kanali M Ghadaffi yanadhibiti sehemu ndogo ya mji wa Tripol, hivyo huenda Rais pekee mwenye msimamo juu ya ukoloni mambo leo hapa afrika ukawa pabaya... .
Binfsi nishafika libya na wanachuo wenzangu wengi tu ikiwa ni moja y machache sana ktk mazuri yake ambayo naweza kuyashuhudia mimi niliyeko hapa ,je wale walibya na wengine
maombi pleaz kwake
Mola amsaaidie.
 
Pole sana....lakini naomba nikuelimishe kidogo....umeiweka mahali si pake....hapa ni chumba cha malavidave......
 
Hii ina sura zote yaan siasa na pia mapenzi kwa mtu fulan,
binafsi nampenda ghadafi na kama ningeweza ningeenda kumpigania
 
tusimulie vihoja vya kadafi na yule mama wa kizungu hapo tutakuelewa................vinginevyo kimbilia kule IA
 
Hii ina sura zote yaan siasa na pia mapenzi kwa mtu fulan,
binafsi nampenda ghadafi na kama ningeweza ningeenda kumpigania
Una bikira? maana hizo ndio sifa za Gaddafi yeye anataka mabikira ili akate siridi mwenyewe.
 
s/he is in love with libya. so ni mahali pake,lol
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Pole sana....lakini naomba nikuelimishe kidogo....umeiweka mahali si pake....hapa ni chumba cha malavidave......</span></font></font>
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom