Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Tangu february nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa ambapo vyombo ya kimagharibi vinadai kuwa majeshi tiifu kwa kanali M Ghadaffi yanadhibiti sehemu ndogo ya mji wa Tripol, hivyo huenda Rais pekee mwenye msimamo juu ya ukoloni mambo leo hapa afrika ukawa pabaya... .
Binfsi nishafika libya na wanachuo wenzangu wengi tu ikiwa ni moja y machache sana ktk mazuri yake ambayo naweza kuyashuhudia mimi niliyeko hapa ,je wale walibya na wengine
maombi pleaz kwake
Mola amsaaidie.