wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
daa mnatusumbua sana nyie viumbeHAPANA NON OF THEM HAWAJUI WANATAKA NINI? ha haha wameshakuliza
hvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
ha ha ha ha safar ili wazime haraka? wanatumia fursa mkuuhvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?
Safari Lager ni pombe za wanaumehvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa iyo mkuu ni njaa au ushamba?ha ha ha ha safar ili wazime haraka? wanatumia fursa mkuu
mwe!Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
Ndo hvyo watoto wazur mtuachie sie.unakuta unamtoa dem lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..au anaagiza dompo akinywa kidogo unasikia ohoo ina harufu mbaya labda nijaribu amarula au wine khaa yaani mnatia hasira sana au unatolewa out na babe unakuja na kijiji hivi hua mnatukomoa au?
Next time usihangaike na hao warembo wenye TABIA za kishambaa... [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unakuta unamtoa dem lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..au anaagiza dompo akinywa kidogo unasikia ohoo ina harufu mbaya labda nijaribu amarula au wine khaa yaani mnatia hasira sana au unatolewa out na babe unakuja na kijiji hivi hua mnatukomoa au?
Achana nasi tafuta kiumbe kinginedaa mnatusumbua sana nyie viumbe
kama nyie wachaga ndiyo mmezidi na mapenz hamjuiAchana nasi tafuta kiumbe kingine
We unakosea kumpeleka sehemu yenye vitu vya kuchagua, wenzio hua tunaendanao sehemu zenye wali nyama na wali maharage tu afu ukifika huulizi mna nini, unamwambia tu mhudumu naomba wali maharage kisha unamgeeukia unamuuliza bby na wewe unakula nini kwa kujivunga na malipstick yake mdomoni utasikia wali nyama, ukitika hapo unalipa 2,500 mnaenda kwenye mgegedo. Baada ya hapo hakutafuti tena.hvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?