Hvi nyie mabinti huwa ni tamaa au ni nini?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
261
Reaction score
291
Unakuta unamtoa demu lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..

Au anaagiza dompo akinywa kidogo unasikia ohoo ina harufu mbaya labda nijaribu amarula au wine khaa yaani mnatia hasira sana au unatolewa out na babe unakuja na kijiji hivi hua mnatukomoa au?
 
Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
 
hvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?
 
ha ha ha ha safar ili wazime haraka? wanatumia fursa mkuu
 
Kama ukijua hauko vizuri mfukoni ni bora usiwe unatoa mialiko ovyo ovyo "KAKA UMEJIPANGAJE? UNA TEMBO CARD MASTER CARD?"
 
Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
mwe!
 
unakuta unamtoa dem lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..au anaagiza dompo akinywa kidogo unasikia ohoo ina harufu mbaya labda nijaribu amarula au wine khaa yaani mnatia hasira sana au unatolewa out na babe unakuja na kijiji hivi hua mnatukomoa au?
Ndo hvyo watoto wazur mtuachie sie.
Tena me ndo nakuwa wa kwanza kuinusa na naimwaga namwambia beby agiza amarula ii itakunukisha mdomo.
 
unakuta unamtoa dem lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..au anaagiza dompo akinywa kidogo unasikia ohoo ina harufu mbaya labda nijaribu amarula au wine khaa yaani mnatia hasira sana au unatolewa out na babe unakuja na kijiji hivi hua mnatukomoa au?
Next time usihangaike na hao warembo wenye TABIA za kishambaa... [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mala nyingi mademu washamba vitu vigeni kwake anajifanya matawi kumbe Hamna kitu janja yao hiyo ili umtoe mzigo mrefu
 
hvi kwa nn ukiwatoa out hawagizi vitu rahis kama wali haragwe au soda wanakimbilia dompo ,savana ,henken kwnn wasiagize safar ?
We unakosea kumpeleka sehemu yenye vitu vya kuchagua, wenzio hua tunaendanao sehemu zenye wali nyama na wali maharage tu afu ukifika huulizi mna nini, unamwambia tu mhudumu naomba wali maharage kisha unamgeeukia unamuuliza bby na wewe unakula nini kwa kujivunga na malipstick yake mdomoni utasikia wali nyama, ukitika hapo unalipa 2,500 mnaenda kwenye mgegedo. Baada ya hapo hakutafuti tena.
 
Back
Top Bottom