Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ushalizwa hivo, maksudically[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa iyo mkuu ni njaa au ushamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushalizwa hivo, maksudically[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa iyo mkuu ni njaa au ushamba?
Tafuta wengine mtuachekama nyie wachaga ndiyo mmezidi na mapenz hamjui
Huyo ni weweKuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
Na kweli na mtu kama huyu ukienda naye dukani hakawii ku bargain kituKama ukijua hauko vizuri mfukoni ni bora usiwe unatoa mialiko ovyo ovyo "KAKA UMEJIPANGAJE? UNA TEMBO CARD MASTER CARD?"
Ha ha ha ha na aliebakisha hyo soda ni weweeeHuyo ni wewe
Hahahaha mm sikuonei huruma nakunywa namaliza na bado utalipia tu ya kuondoka nayoHa ha ha ha na aliebakisha hyo soda ni weweee
Utaomba mpka na Hela ya supuuuHahahaha mm sikuonei huruma nakunywa namaliza na bado utalipia tu ya kuondoka nayo
Swadakta na nauli kabisaaaUtaomba mpka na Hela ya supuuu
ya boda boda ha ha ha ha we sio wa mchezo mchezoSwadakta na nauli kabisaaa
ngoja nikutafutia mwaliko kumbe sio gharama kabisa enheeAisee nkijitahid sana ka alvaro labda,uwe unaniita mimi ila mara nyingi juice kubwa ya azam apo tunaweza hata kushare watu wa3
Na bado ile ya kwenye glass akabakiza.... HahahahaaKuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
Zingatia tu location, napendelea hyatt,bahari beachngoja nikutafutia mwaliko kumbe sio gharama kabisa enhee
Ha ha ha ha uko kwa box juice moja napamudu kabisaaaZingatia tu location, napendelea hyatt,bahari beach