Hvi nyie mabinti huwa ni tamaa au ni nini?

akija na wenzie nawe waite wenzio tena unasema tukanywee lodge kabisaa ili mmegane kabisaa
 
Aisee nkijitahid sana ka alvaro labda,uwe unaniita mimi ila mara nyingi juice kubwa ya azam apo tunaweza hata kushare watu wa3
 
Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
Huyo ni wewe
 
Acha ubrazamen cku nyingine akileta hizo pigo wee unachukua unamalizia au unamwambia weita akuwekee kwenye take away..
 
Aisee nkijitahid sana ka alvaro labda,uwe unaniita mimi ila mara nyingi juice kubwa ya azam apo tunaweza hata kushare watu wa3
ngoja nikutafutia mwaliko kumbe sio gharama kabisa enhee
 
Kuna mmoja kuna siku alipewa soda ya chupa akabakisha, next visit akapewa zile za chupa ndogo still akabikisha jamaa akaona upuuzi huu third visit kanunua soda ndogo then akamminia kias kwenye glas af iliyobak akarudsha kwenye fridge
Na bado ile ya kwenye glass akabakiza.... Hahahahaa
Nilichoona hapa nikwamba hawa kina bidada wanatumia hii kama fursa ya kuonja wanayoadithiana.
 
Back
Top Bottom