Hvi wanaume wanaakili gani???

Hvi wanaume wanaakili gani???

Duh mmh ni hivi kumbe! Hao wanaume ni majasiri kwelikweli hawaogopi kitu duh! Wako vitani naona
 
wanaakili sema wanaendeshwa natamaa zaidi,namshauri aendelee na msimamo wake.
 
Sinai ni kweli kuwa hatupaswi kugenerelize wanaume wote kwani hata sie wanawake tunafanyaga mambo ya ajabu ambayo sometimes watu wanatushangaa. Mfano kutembea na mume wa best friend wako au kutembea na best friend wa mumeo/ kutembea na houseboys au madereva wetu na kuna wengine ambao pia hufanya kila juhudi kutembea na watu wenye majina hata kama anamjua kuwa ni mwingi na anawezakuwa ameathirika (Mf. Liyumba kama wanavyosema). So nafikiri ni baadhi ya wanaume

Coming back to the mada.................nadhani Babu Asprin ameuliza swali la msingi sana. Je mwathirika hastahiliki kupata penzi? (Ukiondoa hao wenye wake zao tayari ambao tunajua wanasukumwa na tamaa tu) Waache hao mabachellors wajaribu bahati zao......you never know wanawezatangaza ndoa ati
 
Tatizo lenu wanaume wakiwatenda huko mtaani basi mkija hapa JF mnafikiri na wanaume wengine wanafanana hivyo hivyo

Hao wa mtaani si haohao wa humuhumu The Finest? Au wa humu wanaishi wapi?
 
Inawezekana lakini sio vizuri kufanya generalization kama aliyofanya huyu, kwani wanawake huwa hawafanyi mambo ya ajabu?? Wanafanya lakini sio chanzo cha kusema wanawake wote ndio wako hivyo
 
Ha ha ha ha ha, huwezi waelewa wanaume wakishatamani kufanya mapenzi na mwanamke,wengi wao reasoning capacity inafutika,ndo maana wengine unamjua siku ya kwanza,ya pili anataka kulala na wewe bila kinga,hawafikirii watoto wao,wake zao,wazazi wao,na jamii inayowategemea,au hata consequence nyingine za matendo yao! akishalala na mwanamle ndo akili inarudi anaanza juta na kulaumu!!!
Maskini huyo dada,wema wake haueleweki,ndo sikio la kufa halisikii dawa!!
Michelle, hapo kwenye red nadhani pangesomeka " ...wengi wao reasoning capacity huwa focused kwenye kile wanachokitaka ..."
 
tunaandamwa sana akili zetu zinafana, ila kama huyo dada ni mzuri wa umbo asiwe mchoyo kinga si zipo? atoe mzigo huo watu wajihudumie au yeye hana hamu ya ngono!
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
tunachowaza muda wote ni kutongoza mwanamke na kwenda kumalizana hiyo ndo akili yetu
 
Michelle, hapo kwenye red nadhani pangesomeka " ...wengi wao reasoning capacity huwa focused kwenye kile wanachokitaka ..."

Sawa kabisa mkuu,asante kwa kuweka kwa ufafanuzi zaidi!! natumai hujambo!
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:

Tatizo halipo.
Utavaa jazi2;
Kama Kondom gharama Basi mfuko wa shikirimu, au utaji-Zuma haraka baada ya ngono (kuoga)
Kama ajali imeandikwa na ni popote hasara roho:
 
Asilimia kubwa ya wanaume wanapoambia ukweli, hawaamini hata kidogo. Lakini ukiwaambia UWONGO, hapo mtaelewana kiswahili! Wanastaajabisha sana kwa mambo mengi.

hli linasadifu hata kwa femalez,uongo ndo suluhsho la kuwapata!bila porojo hang'oki
 
Sioni tatizo la wanaume kumtongoza aliyeathirika. Kawaida tamaa kwanza, alafu mapenzi.
Dada kama ni mzuri kwa macho, lazima wanaume watamfuata tu! Hii ni nature. Na akiwakatalia watazidi kuomba na kubembeleza tu mpaka wakubaliwe au mpaka waone imeshindikana kabisa.. na hapo ndo watakata tamaa.

Wanawake wana mbinu nyingi sana za kumkataa mwanaume (kuzuga), mara ooh nimeathrika mara ooh mi mke wa mtu, mara wanune tu nk.
Kwa hiyo tusishangae wanaume wanaozidi kumg'ang'ani huyo dada muathirika... they may get smth lol!
 
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.

Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:

Get busy living, Get busy dying!!
 
Wanaume wana vichwa viwiliviwili. Kimoja kiko juu kingine chini. Kile cha chini kikiamka cha juu kinaacha kufanya kazi sawasawa.
 
Hata mi nakubali wanaume wote mna akili za namna gani, kwa sababu nyie wote mnatamani kwa kuona na ukiamua kuitimiza tamaa na kiu ya nafsi yako, lazima uitimize.

Kwa sababu ni mara nyingi mnafanya mambo ya ajabu kwa wanawake halafu mnasema nitamaa tu zilinishika wala sikuwa na malengo naye!! Hajatukana wala nini. Wanaume THINK and RE-THINK before you take action, don't do only because you can doooo!!

Duuu na wewe LD, tafadhali tutake radhi!!!!! Si sahihi ku-generalize kwenye hayo masuala!!!!!
 
Back
Top Bottom