Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:twitch::twitch::twitch::twitch:nimepata habari zote ulipokuwa janaUmeniacha solemba ohoo solemba why swetie :angry:
:twitch::twitch::twitch::twitch:nimepata habari zote ulipokuwa jana
Tatizo lenu wanaume wakiwatenda huko mtaani basi mkija hapa JF mnafikiri na wanaume wengine wanafanana hivyo hivyo
Inawezekana lakini sio vizuri kufanya generalization kama aliyofanya huyu, kwani wanawake huwa hawafanyi mambo ya ajabu?? Wanafanya lakini sio chanzo cha kusema wanawake wote ndio wako hivyoHao wa mtaani si haohao wa humuhumu The Finest? Au wa humu wanaishi wapi?
Michelle, hapo kwenye red nadhani pangesomeka " ...wengi wao reasoning capacity huwa focused kwenye kile wanachokitaka ..."Ha ha ha ha ha, huwezi waelewa wanaume wakishatamani kufanya mapenzi na mwanamke,wengi wao reasoning capacity inafutika,ndo maana wengine unamjua siku ya kwanza,ya pili anataka kulala na wewe bila kinga,hawafikirii watoto wao,wake zao,wazazi wao,na jamii inayowategemea,au hata consequence nyingine za matendo yao! akishalala na mwanamle ndo akili inarudi anaanza juta na kulaumu!!!
Maskini huyo dada,wema wake haueleweki,ndo sikio la kufa halisikii dawa!!
:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch:Me too nimepata habari ulipokuwa jana :angry::angry:
l.o.l....kaka watu wanabahati mbaya bana,unakuta the past 20 wote walikuwa washashi!....wanafikiri na wote jf ni wakurya!...l.o.l
tunachowaza muda wote ni kutongoza mwanamke na kwenda kumalizana hiyo ndo akili yetu:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.
Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
Michelle, hapo kwenye red nadhani pangesomeka " ...wengi wao reasoning capacity huwa focused kwenye kile wanachokitaka ..."
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.
Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
Asilimia kubwa ya wanaume wanapoambia ukweli, hawaamini hata kidogo. Lakini ukiwaambia UWONGO, hapo mtaelewana kiswahili! Wanastaajabisha sana kwa mambo mengi.
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.
Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
:sad::sad::sad:Jamani, hapa kwetu kuna mdada mmoja ni mgonjwa na anatumia dawa za kuongeza siku (ARV's) tena kwa muda mrefu sana sasa tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000, na yupo wazi kabisa tena hafichi anasema kabisa kuwa yeye ni HIV +. Cha ajabu, kwa kuwa yule dada ni mzuri sana kwa sura na umbo, wanaume wanamfuata sana, hata waume za watu wamo. Dada anawaambia kuwa ameathirika lakini hawaamini, wanamng'ang'ania tu, hadi anaona kero, na hayupo tayari kumwambukiza mtu mwingine HIV kwa makusudi.
Swali langu ni kwamba, kwanini wanaume hawaamini na kumwacha? Kunawengine wanadai eti ni gear yake tu ya kukataa wanaume, sas asemeje ili muweze kuelewa kuwa anaishi kwa ARV's? Mnataka kuambukizwa?:thinking::thinking::thinking:
Hata mi nakubali wanaume wote mna akili za namna gani, kwa sababu nyie wote mnatamani kwa kuona na ukiamua kuitimiza tamaa na kiu ya nafsi yako, lazima uitimize.
Kwa sababu ni mara nyingi mnafanya mambo ya ajabu kwa wanawake halafu mnasema nitamaa tu zilinishika wala sikuwa na malengo naye!! Hajatukana wala nini. Wanaume THINK and RE-THINK before you take action, don't do only because you can doooo!!