Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Kiasi cha "crude protein" kwenye hiki chakula, ni asilimia ngapi?

[TABLE="width: 596"]
[TR]
[TD]Barley Analysis Performed
[/TD]
[TD]Unit
[/TD]
[TD]Result
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Protein
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]35.50
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ether Extract
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]3.40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moisture
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]84.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ash
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]3.60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Crude Fibre
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]15.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Acid Detergent Fibre
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]19.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nitrogen Free Extract
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]61.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Metabolisable Energy
[/TD]
[TD]MJ/Kg
[/TD]
[TD]11.40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]4.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Calcium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copper
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]1.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iron
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]7.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Potassium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]180.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magnesium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manganese
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]2.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sodium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]36.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Phosphorous
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zinc
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]4.60
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Pls chasha ungeweka na bei ingekuwa Pouwah sana kwa sababu mtu anaweza toka mbali kuja. Huko ulipo halafu kumbe kaja na hela kidogo nje ya kiwango chako so ungerahicsha kwa kututajia baadhi ya gharama ....

Mkuu usiogepe we just jiandae
 
[TABLE="width: 596"]
[TR]
[TD]Barley Analysis Performed
[/TD]
[TD]Unit
[/TD]
[TD]Result
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Protein
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]35.50
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ether Extract
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]3.40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Moisture
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]84.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ash
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]3.60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Crude Fibre
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]15.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Acid Detergent Fibre
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]19.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nitrogen Free Extract
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[TD]61.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Metabolisable Energy
[/TD]
[TD]MJ/Kg
[/TD]
[TD]11.40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]4.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vitamin B1
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]0.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Calcium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copper
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]1.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iron
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]7.20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Potassium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]180.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magnesium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manganese
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]2.30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sodium
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]36.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Phosphorous
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]150.00
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zinc
[/TD]
[TD]mg/100g
[/TD]
[TD]4.60
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

pamoja mkuu.
Upo nondo, unajua unacho kifanya.
Mia.
 
Wakuu mafunzo yanaendelea juzi na jana nilifundisha watu wametokea Mwanza, ni vizuri hata kama uko wapi ukaja, mafanikio ni gharama.
 
Wakuu mafunzo yanaendelea juzi na jana nilifundisha watu wametokea Mwanza, ni vizuri hata kama uko wapi ukaja, mafanikio ni gharama.

Chasha
Hayo mafunzo inachukua muda gani?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mafunzo yanaendelea juzi na jana nilifundisha watu wametokea Mwanza, ni vizuri hata kama uko wapi ukaja, mafanikio ni gharama.

Chasha
Hayo mafunzo inachukua muda gani kuelewa?
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu,

Nimenza kutoa elimu ya uzalishaji wa chakula cha Kuku, Mbuzi, Nguruwe na Ng'ombe kwa kutumia Hydroponic, na nilisha wahi kuielezea hapo nyuma.

Hydroponic fodder inaweza kukupunguzia gharama za Chakula cha kuku wa asilimia zaidi 60% kitu ambacho ni cha kipekee kabisa, na Nguruwe kwa zaidi ya asilimia 40% Ng'ombe asilimia 50%.

Kwa sasa anaye hitaji kufundishwa kwa vitendo itambidi awekeapoint ment na kuna gharama za kulipia na vilevile naweza kukufanyia instalation huko uliko kwa gharama za maelewano, na vilevile utapata vifuatavyo.

1. Nutrients ambazo zinapatikana

2. Trays

3. Barley Seeds

NB: Huu mfumo hata kama unataka kulima Mboga za Majani pia unakaribishwa. na Kuna Business plan yake pia.

Nitafute 0783-69-10-72
Shamba lako la mfano lipo wapi?tukutembelee huko huko tujionee na darasa pia hapo hapo utupe
 
Shamba lako la mfano lipo wapi?tukutembelee huko huko tujionee na darasa pia hapo hapo utupe

Arusha mkuu, kwani wewe uko wapi? njoo ujonee mwenyewe make hapa watu wanaweza zania nafanya usanii
 
mkuu. Chasha ungeboresha huu uzi kwa kuweka zile picha maana kuna wengine bado hawaelewi hii kitu

hydro-621x350.jpg
 
Habari wakuu,

Nimenza kutoa elimu ya uzalishaji wa chakula cha Kuku, Mbuzi, Nguruwe na Ng'ombe kwa kutumia Hydroponic, na nilisha wahi kuielezea hapo nyuma.

Hydroponic fodder inaweza kukupunguzia gharama za Chakula cha kuku wa asilimia zaidi 60% kitu ambacho ni cha kipekee kabisa, na Nguruwe kwa zaidi ya asilimia 40% Ng'ombe asilimia 50%.

Kwa sasa anaye hitaji kufundishwa kwa vitendo itambidi awekeapoint ment na kuna gharama za kulipia na vilevile naweza kukufanyia instalation huko uliko kwa gharama za maelewano, na vilevile utapata vifuatavyo.

1. Nutrients ambazo zinapatikana

2. Trays

3. Barley Seeds

NB: Huu mfumo hata kama unataka kulima Mboga za Majani pia unakaribishwa. na Kuna Business plan yake pia.

Nitafute 0783-69-10-72

Ubarikiwe sana... nilikuwa nawaza namna ipi nitawafikia ndugu chege na mweya amba wanavuma ktk hii fani... nitaku-pm kwa majadiliano zaidi...
 
Katika pita pita mtandaoni nimekuta na huyu mkulima bwana
TITUS WACHIRA

nadhani mlioangalia documentary ya Kilimo Biashara Episode 1 mtakua mnamjua,yeye yupo kenya na website yake ni
Home
yeye nimependa jinsi alivyotumia material za kawaida kabisa ambazo naamini hata mtu wa kawaida anaweza kupata ukitoa hizo dawa,mbolea na vipandio.

Nimejaribu kufanya nae mawasiliano na majibu yake yalikua hivi

++We train on hydroponic fodder production. It takes 2-3 hours. We are located in Nyeri county some 200km from Nairobi. We charge ksh 1000 per person and this should be from Monday to Saturday. We also e-train, we charge ksh 2000. With this you provide us with whatsapp registered phone. With this you just sit and we train you wherever you are.

Contact: Mwema Farm Innovations 24/7
P.O Box 105 - 10104 Mweiga
Cell Phone: 0720 774 933
Email: teemmfresh@yahoo.com

...--msisahau kuleta feedback

:smile-big:
 
picha zake..
 
Attachments

  • dsc04749.jpg
    dsc04749.jpg
    35.5 KB · Views: 1,448
  • dsc04736.jpg
    dsc04736.jpg
    35.6 KB · Views: 1,433
  • dsc04733.jpg
    dsc04733.jpg
    38.4 KB · Views: 1,417
  • dsc04744.jpg
    dsc04744.jpg
    6.4 KB · Views: 1,246
Back
Top Bottom