HYPOTHETICAL: CHADEMA mkipewa magari na Watawala mtapokea na kushukuru?

Ni hela za samia au za wananchi??

Tunaisahau sana ibara ya 8...

Nashangaa mtu anasimama jukwaan namshukuru mh rais as if ametoa hela zake mfukoni...

Siku tukijua sisi ndo waajiri wao waajiriwa itakua ndo mwisho wa huu ujinga wa asante mh Rais
 
Uchaguzi uliopita wagombea wa urais kutoka vyama siasa walipewa magari je yalisaidia nini ? Mwisho wa siku hayo ni magari ya serikali
 
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.

PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Kwanini CHADEMA? Magari wapewe TLS, kwani nao ni chama cha siasa? Hivi wakati CHAUMMA wamepewa magari uliwailiza CHADEMA hili swali?
 
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.

PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Tujifunze kupambanua mambo, si kila wakati ni siasa, ndani ya TLS wamo wanachama wa jumuia zote uzijuazo hata mawakili wa serikali mradi ni mwanasheria, tafuta katiba ya TLS utuwekee hapa ili hoja yako ieleweke.
 
Contextual issues.......
 
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.

PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Kwa nini wasipokee wakati hayo magari yamenunuliwa kwa fedha za watz?
Au mnafikiri serikali ni kampuni binafsi kwamba kama humpendi rais Dr Hassan basi unachukia mfumo mzimq
 
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.

PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Ile JF of GT's ndiyo imefikia hapa! Haina tofauti na wapenzi wa Simba na Yanga. Mijadala iliyomo humu ni ya viwango vya chini sana.
 
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.

PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Nadhani suala la kushukuru au kutoshukuru, sio muhimu sana. Na hata kukubali au kukataa msaada huo, inaweza kua ni unafiki tu kulingana na utashi wa kisiasa walio nao viongozi wa chama hicho.

Lakini kwa mujibu wa sheria,
vyama vyote vya siasa nchini ni mali ya umma. Na ndio maana, vyama vya siasa vilivyokidhi vigezo vya kisheria vinategemezwa kwa ruzuku ya serikali ya chama kinachotawala.

Hii ikimaamisha,
serikali inaweza kukitegemeza chama au vyama vya siasa kadiri inavyoona inafaa kwa kutumia mali ya umma ili kiende kufanya kazi ya umma, kwasababu hicho chama ni mali ya umma 🐒
 
Back
Top Bottom