ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,149
- 2,835
CHADEMA ipi??waliopo wamesimikwa kama wachungaji.Hawakuchaguliwa.Kwa nini wasianze kupewa ACT na CHAUMMA?Kwani CHADEMA ni akina nani ambao hawana hata mwenyekiti wa kijiji?
CHADEMA ipi??waliopo wamesimikwa kama wachungaji.Hawakuchaguliwa.Kwa nini wasianze kupewa ACT na CHAUMMA?Kwani CHADEMA ni akina nani ambao hawana hata mwenyekiti wa kijiji?
Unajichoresha! Better to keep aside, stand aside kuliko kujichoresha!Ile JF of GT's ndiyo imefikia hapa! Haina tofauti na wapenzi wa Simba na Yanga. Mijadala iliyomo humu ni ya viwango vya chini sana.
Ukimaanisha kwamba!?CHADEMA ipi??waliopo wamesimikwa kama wachungaji.Hawakuchaguliwa.
Hujaelewa contest of my postKwa nini wasianze kupewa ACT na CHAUMMA?Kwani CHADEMA ni akina nani ambao hawana hata mwenyekiti wa kijiji?
Uelewa wako ni mdogo, weka hapa kuhusu uanachama na si chama.Unajichoresha! Better to keep aside, stand aside kuliko kujichoresha!
Soma section 4 of TLS.
TLS must remain an independent professional body dispensing its statutory duty without fear or favor. It should always assist its membership and the society in general in matters of rule of law and good governance.
"According to Section 4 of the Tanganyika Law Society Act, Cap 307, TLS remains a vital pillar for the nation's welfare. We continue to fulfill our mandate by advising the Government, Parliament, the Judiciary, and the Public on all legal matters, specifically regarding good governance, human rights, and the rule of law," says Adv. Mariam Othman, TLS Executive Director, at the #TLSAGM2026.
Sasa Ukishapokea magari/ favours kutoka kwa " rival" wako, utaweza kutimiza majukumu yako ya kuishinikiza serikali kufanya good governance, kuendesha nchi kwa rule of law, ....soma chini hapo!
Utaweza kuikemea serikali kwa dhati kutoka moyoni kwako?
Wewe hujui kitu. Kuna msitari ukiuvuka , huwezi kuaminika kabisa.Tuache tabia za kufikirika, usipoishangilia Yanga wewe ni Simba! Usipoishangilia Simba wewe ni Yanga! Badala ya kulazimishana kukubali maoni ya binafsi ni vizuri uweke katiba ya TLS itupe mwongozo wa majadiliano.
Nitakomenti upya nikitulia.Bado namsaka mpuuzi mmoja anajiita Mwakipopo.Hujaelewa contest of my post
My concern is ukishapokea misaada ya Samia, utamkekea kwa haya yanayoendelea?Nitakomenti upya nikitulia.Bado namsaka mpuuzi mmoja anajiita Mwkipopo.
Inawezekana tu.Mbona Samia alimsalimia mgonjwa Nairobi na Brussels na bado akawa mkinzani wake anayemnyima usingizi?My concern is ukishapokea misaada ya Samia, utamkekea owa haya yanayoendelea?
TLS section 4 ambayo ndiyo nguzo ya kuanzishwa kwake itakuwa compromised!
Tumetenga trillion moja kwa ajili ya safari na posho acha kulia lia tafuta chimbo lako ulambe asaliYou are ignorant of contextual issues! Enjoy your day!
Akili finyuTumetenga trillion moja kwa ajili ya safari na posho acha kulia lia tafuta chimbo lako ulambe asali
My concern is: TLS itaweza kutimiza matakwa ya section 4 of TLS? ambayo ine define uwepo wa TLS?Ni hela za samia au za wananchi??
Tunaisahau sana ibara ya 8...
Nashangaa mtu anasimama jukwaan namshukuru mh rais as if ametoa hela zake mfukoni...
Siku tukijua sisi ndo waajiri wao waajiriwa itakua ndo mwisho wa huu ujinga wa asante mh Rais
Ukweli ni kuwa Serikali hii haiwezi kuipa Chadema gari, ruzuku tu ambayo ni haki yao wameikalia. Serikali hii haramu inaichukulia Chadema kuwa adui yake namba moja hivyo huwezi kumpa adui yao silaha.TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Haya madai ya Mwabukusi kulambishwa asali hayajaanza leo ila mwamba yupo kidete amenyooka naoMy concern is: TLS itaweza kutimiza matakwa ya section 4 of TLS? ambayo ine define uwepo wa TLS?
Pumbavu!TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Samia alivyo na kisasi, kweli unamsuta kama Lisu akupe magari? Nina wasiwasiHaya madai ya Mwabukusi kulambishwa asali hayajaanza leo ila mwamba yupo kidete amenyooka nao
Sawa pumbavu, naikubali, lakini ujue Mama yako ni mke wangu hivyo unamtukana baba yakoPumbavu!