Kwanini CHADEMA? Magari wapewe TLS, kwani nao ni chama cha siasa? Hivi wakati CHAUMMA wamepewa magari uliwailiza CHADEMA hili swali?TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Tujifunze kupambanua mambo, si kila wakati ni siasa, ndani ya TLS wamo wanachama wa jumuia zote uzijuazo hata mawakili wa serikali mradi ni mwanasheria, tafuta katiba ya TLS utuwekee hapa ili hoja yako ieleweke.TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
You are ignorant of contextual issues! Enjoy your day!Asa CHADEMA na TLS vinahusiana vipi?
Mbona unajiamulia mambo
Contextual issues.......Tujifunze kupambanua mambo, si kila wakati ni siasa, ndani ya TLS wamo wanachama wa jumuia zote uzijuazo hata mawakili wa serikali mradi ni mwanasheria, tafuta katiba ya TLS utuwekee hapa ili hoja yako ieleweke.
Tuache tabia za kufikirika, usipoishangilia Yanga wewe ni Simba! Usipoishangilia Simba wewe ni Yanga! Badala ya kulazimishana kukubali maoni ya binafsi ni vizuri uweke katiba ya TLS itupe mwongozo wa majadiliano.You are ignorant of contextual issues! Enjoy your day!
Kwa nini wasianze kupewa ACT na CHAUMMA?Kwani CHADEMA ni akina nani ambao hawana hata mwenyekiti wa kijiji?TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Chadema imeingiaje kwenye mjadala huu? Mbona tunajadiliana kama tuko baa! Hivi hii ni ile JF of GT's!Kwa nini wasianze kupewa ACT na CHAUMMA?Kwani CHADEMA ni akina nani ambao hawana hata mwenyekiti wa kijiji?
Umesoma kichwa cha habari cha uzi huu au ndiyo unatoka baa asubuhi hii?Chadema imeingiaje kwenye mjadala huu? Mbona tunajadiliana kama tuko baa! Hivi hii ni ile JF of GT's!
Kwa nini wasipokee wakati hayo magari yamenunuliwa kwa fedha za watz?TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Ile JF of GT's ndiyo imefikia hapa! Haina tofauti na wapenzi wa Simba na Yanga. Mijadala iliyomo humu ni ya viwango vya chini sana.TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Kwa sababu kuna mentality ya TLS ni organ ya ChademaKwanini CHADEMA? Magari wapewe TLS, kwani nao ni chama cha siasa? Hivi wakati CHAUMMA wamepewa magari uliwailiza CHADEMA hili swali?
Nadhani suala la kushukuru au kutoshukuru, sio muhimu sana. Na hata kukubali au kukataa msaada huo, inaweza kua ni unafiki tu kulingana na utashi wa kisiasa walio nao viongozi wa chama hicho.TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte