HYPOTHETICAL: CHADEMA mkipewa magari na Watawala mtapokea na kushukuru?

Inawezekana tu.Mbona Samia alimsalimia mgonjwa Nairobi na Brussels na bado akawa mkinzani wake anayemnyima usingizi?
Samia ana visasi. At that time Samia had no power and therefore she was less concerned with what actually was going on with rivalies between Lisu and Magufuli!
 
Kwa sababu kuna mentality ya TLS ni organ ya Chadema
"Kuna mentality" that says it all, mentality mnaijenga wenyewe vichwani mwenu.
Truth is they both look at problems through a very similar lens, they have similar narratives and similar hypothesis na hata neutral individuals(those with sense) huwa wana mitazamo similar to those two organizations matokeo yake hata humu JF hujikuta wanaitwa CHADEMA.
 
wewe jamaa kumbe pamoja na kujitoa kwako ufahamu bado una mawazo mazuri
 
fair enough
 
wewe jamaa kumbe pamoja na kujitoa kwako ufahamu bado una mawazo mazuri
Gentleman,
binafsi sijawahi kua na mawazo mabaya jukwaani,

labda udhaifu wangu,
ni katika kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu, ambayo watu wengi hawapendi kuona yakielezwa kwa kinagaubaga kwa uwazi na kwa ukweli usiomithilika.

endelea kunifutilia,
na nikuhakikishie tu, utafaidika vya kutosha kisiasa, kijamii na pengine hata kiuchumi.

ungana nami 🐒
 
Nabweka na mama yako ujue alivyo bomba
Maza yupo ikulu wewe unapuyanga kitaa huwez hata kumfikia
Endelea kubweka huku jf tuu mzee wangu
Vp walikunyima mafao yako ya kustafu?
Niongee na maza akulipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…