Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private.
hyundai-tvs-electric-concepts-185229334-16x9_0.jpg
images (5).jpeg
2-2715040.jpeg
5-2715044.jpeg

Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing.

Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
 
Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. View attachment 3206052View attachment 3206054View attachment 3206055View attachment 3206056
Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing.

Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
Namaste, ila wa Tz twatia huruma hakuna cha maana tunacho kifanya zaidi ya kushabikia vyama vya Siasa na mpira.
 
Zile Bajaj za DIT zitapata mshindani halisi...

Wauza mafuta wananuna sana baada ya Umeme na Gas kutake over
 
Back
Top Bottom