Dear_me_
Member
- Dec 31, 2022
- 36
- 79
Bajaji za umeme zippo DIT na zinauzwa sanaa kwa watu wa bolt hata designing yake ya cover la juu bajaji lina pattern za neno boltWenzetu wapo mbele ya muda aisee huu ni bonge la ubunifu nzuri sana hizi bajaj za umeme