Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private.
View attachment 3206052View attachment 3206054View attachment 3206055View attachment 3206056
Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing.
Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.