Korea ni watu waadilifu kwa asili, bila shaka hili deal litakuwa halisi unless wawepo 'watu kati'. Mbali na hapo wapigaji unaweza kukasikia wakitaka mkataba na tenda vitangazwe upya maana hawaga dogo kwenye maslahi
Kinachosikitisha ni kwamba kuna mtu akiwa na account yenye million kadhaa au ghorofa Mbezi, au kijikampuni cha kulamba tender anaona ndio kila kitu regardless wengine wanaendelea kuishi katika dhiki kiasi gani zilizosababishwa na matendo yake ya kijinga na kizembe.
Sometines walikuwa wanatamba kuwa wana bima za kutibiwa popote duniani na mengine kama hayo, thank GOD Covid-19 imeweka uwanja sawa lakini kwa ujinga uliotamalaki miongoni mwao bado hawataliona na hili.