Huo mjadala tulishaufunga na jamaa juu
Na nikasahihisha usiwe unasoma kwa kukurupuka buddah.
Hizo unazosema ww zakimbia kuanzia 200 mk/hr ni maglev na maglev ni contemporary invention huo mwaka Japan ilikua ina reli za Standard gauge sio magnet levelation buddah.
Hiyo 150 mile/hr to 200m/hr ni sawa na speed ya 250km/hr mpk 400+km/hr.
Na nikamwambia bro hapo kuwa nilikosea kuikopi hiyo article..
Soma hapo chini.
Nadhan maana ya "upto " unaieleweka kaka.
Maximum speed yake huko 1964 ilikua ni 200km/hr ibadilishe kwenda ktk miles itakua 125miles/hr.
View attachment 1959698