Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

Ata Nigeria bullet train Yao iko parking,lack of planning mpaka ikabidi wanunue SGR Kama zetu[emoji85]Morroco pia wanacomplain Shida Ni hiyohiyo na pia inchi Zingine kadhaa,Bullet train unafaa kujengewa underground ili iende kwa Kasi ambayo inafaa,si kupishana na watu na magari!!!The Nigeria one Sjui Ni kuharibika Lakini bado ilikuwa ilileta losses,maintainance Nayo,kusimama hovyo ikingoja wabebaji,Stima kuzuazua,Yani Ya Tanzania Kama ingeletwa bullet train wangestaajabu ya Musa na firauni,
Bullet train inafaa underground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uelewa mdogo shida sana bullet train utazisikia tuu kwa majirani
 
Bullet train inafaa underground [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uelewa mdogo shida sana bullet train utazisikia tuu kwa majirani
Ndio Kama hamjajenga underground,busy inafaa mjenge ya juu kwa juu Kwani Ni Uongo???🤔
 
Korea ni watu waadilifu kwa asili, bila shaka hili deal litakuwa halisi unless wawepo 'watu kati'. Mbali na hapo wapigaji unaweza kukasikia wakitaka mkataba na tenda vitangazwe upya maana hawaga dogo kwenye maslahi
Wakikuhisi tu. Unakasoro ya ufisadi wa unatakiwa kijiinyonga
 
Ata Nigeria bullet train Yao iko parking,lack of planning mpaka ikabidi wanunue SGR Kama zetu🙈Morroco pia wanacomplain Shida Ni hiyohiyo na pia inchi Zingine kadhaa,Bullet train unafaa kujengewa underground ili iende kwa Kasi ambayo inafaa,si kupishana na watu na magari!!!The Nigeria one Sjui Ni kuharibika Lakini bado ilikuwa ilileta losses,maintainance Nayo,kusimama hovyo ikingoja wabebaji,Stima kuzuazua,Yani Ya Tanzania Kama ingeletwa bullet train wangestaajabu ya Musa na firauni,

Bullet train haipitagi chini kwa chini. Inayopita hivyo ni subway. Ambazo mara nyingi ni commuter. Bullet train yenyewe inapita juu. Mlio wake ikipita utafikiri ni mlipuko.
 
Bullet train haipitagi chini kwa chini. Inayopita hivyo ni subway. Ambazo mara nyingi ni commuter. Bullet train yenyewe inapita juu. Mlio wake ikipita utafikiri ni mlipuko.
Mtu akikusikia ukiongea kuhusu mlipuko wa sauti ya bullet train anaweza fikiri umeshawahi kupanda bullet train hiyo, kumbe unaongea vitu ulivyoviona kwenye TV.
 
Mtu akikusikia ukiongea kuhusu mlipuko wa sauti ya bullet train anaweza fikiri umeshawahi kupanda bullet train hiyo, kumbe unaongea vitu ulivyoviona kwenye TV.

Shida ya wakenya vitu kama hivyo anapanda uhuru kenyatta pekee. amewajengea mawazo kwamba "ukitaka kupanda hizo, lazima ukuwe rais kama mimi". 🤣 🤣 🤣
Lkn pia wewe ulikuwa Balkan ambao ni masikini, hakuna bullet train wala subway. ungekuja skandinavia au kontinento europe ungeona ni vitu vya kawaida.
 
Mimi nilijua kuanzia mwanzo hamna bullet train hapo. They best they can manage ni kama ile ya Ethiopia.
Kwani bullet train ni nini?
Ili train iitwe bullet train inatakiwa iwe na sifa gani?
Bullet train is a train which reaches a speed range of 150km/h-200km/h and above.
Asa ninyi mnanyekanyeka nn?
Kinachoangaliwa ni speed je ipo kwenye range?Hakiangaliwi muundo we nyangau.
 
Bullet train ni train yenye speed zaidi ya 200 km/h. Tafuta watoto wa chekechea wa kudanganya.
 
By how much? Lol🤣🤣
When I traveled via Kenya's SGR, it averaged 110kph from Nairobi to Mombasa. Your trains, I'm told, will peak 160kph. If that's the peak, the average will definitely range between 100 to 130kph which is basically within the same range as the Kenyan ones.
Budaah unanishangaza!
kwahyo ww unaona range ya speed ya 100-160km/hr inafanana na yenu hiyo ya 80-110km/hr?
Pole sana.
DMU zenu ni za kufananisha na engine tunazosubiria zifike ambazo ni za MGR maximum speed yake 120km/hr.
 
Bullet train ni train yenye speed zaidi ya 200 km/h. Tafuta watoto wa chekechea wa kudanganya.
Tattizo lenu Kenyans mwajifanya kila kitu mwajua.
Bullet train range yake inaanzia 150km/h and above.
Kama hutaki kunya boga.

Screenshot_2021-10-01-13-25-38-1.png
 
Tattizo lenu Kenyans mwajifanya kila kitu mwajua.
Bullet train range yake inaanzia 150km/h and above.
Kama hutaki kunya boga.

View attachment 1959248
😂 😂 😂 😂 😂sasa ya Tanzania utaiweka kwa hiyo bracket eti? 😂 😂 😂 na maximum yenu inasemekana eti itakua160! (yaani bado, "ita") of which 160km/h haiwezi kukua average speed 😂 😂 😂 😂, yenu ni between 80-130 average, wacheni kujitekenya na kucheka wenyewe, 😂 😂 😂 bullet ni between 150 and 250 or beyond average., kama passenger train ya Morocco.,
 
Wacha ujinga. Jifunze kwanza tofauti kati ya mph na kph ndio uje kuargue na mimi.
Najua utofauti kat ya kilometres and miles.
Na najua 1miles =?kilometres.
Hiyo nimekuletea range tu sio mk sijui tofauti.
 
Tattizo lenu Kenyans mwajifanya kila kitu mwajua.
Bullet train range yake inaanzia 150km/h and above.
Kama hutaki kunya boga.

View attachment 1959248
Ndugu bullet train zimeanzia mbali.
Japan walianza kuunda train zinazowexa kukimbia 135km/hr to 180km/hr mwaka 1994 km sijakosea.
Wakaboresha now wameunda kuanzia 200km/hr kwenda 350km/hr.
Hiyo kuleta kuhusu 150miles/hour to 250 miles/hour hizo ni za sasa hv.
Ila ukitaka nakuletea hapa evidence kwamba zilianza hizo nilizokutajia.
Hiyo screenshot nilokuletea isikufanye unitoe akili kuwa sijui tofauti ya miles na kilometres Broddah.
Bali naweza sema nilikurupuka kuituma.
 
Back
Top Bottom