Hyundai Ioniq series walifanya vizuri sana kwenye Ioniq 5 crossover, sasa wamewaletea Ioniq 9 SUV wapenzi wa EV.
Ni moja ya chuma nzuri kwa muonekano wa nje na ndani.
Ni nzuri kwa familia kubwa, ina rows 3 za seat, na watu zaidi ya 7 tunaweza kukaa ndani comfortably.
Ina kuja na battery kubwa la 110 kWh linatupa hadi range ya 630km.
Ndio kwanza wameizindua jana Los Angels Kwahiyo sifa zaidi zinakuja.