I am addicted to sex

I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Ili mradi unafanya na mume wako, wote mna high libido, mimi sioni tatizo kabisa. Have sex coz you are physically fit to have it, kuna ndoa mwezi unakata bila bila, hadi mtu anajiuliza nipo single au nina mke/mume. Have sex, nasisitiza tena, enjoy your sex life.
 
Hii inawezekana naona vi asilimia vya urithi, hivo sina namna ya kuepuka?


Ongea na Wazazi watakupa ushauri walivyofanya, mimi demu wangu alipsta matatizo utotoni hivyo ikamuathiri kisaikolojia na kupelekea kujiona kwamba hana thamani kama Mwanamke, lkn alifight na ametoboa.

Ni fighter!
 
Mania is a psychiatric disorder
You need to be treated
I can help if you wish
 
Ongea na Wazazi watakupa ushauri walivyofanya, mimi demu alipsta matatizo utotoni hivyo ikamuathiri kisaikolojia na kupelekea kujiona kwamba mwili hauna thamani, lkn alifight na ametoboa.
Wapo watu wenye high sex drive, sio lazima wafanyiwe hivyo ulivyosema. Watu wanatofautiana kwa mengi, oestrogen levels za wanawake zinatofautiana kama vile testosterone levels za wanaume zinavyoweza kutofautiana kutoka me huyu na yule.
 
Mmmh nikamtel bi mkubwa napenda dudu la yuyu?! Noma siwezi

Sasa kama huwezi kuongea hata Wazazi wako mwemyewe unaweza kuongea na nani Dunia hii? Inaelekea basi matatizo yako ni makubwa zaidi na sidhani kama mwenyewe unaweza kutatua, anza kujenga imani kwa Wazazi kwanza ili ukiwa na tatizo waweze kukusaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom