I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
Hii ishu nilikimbiwa na mke kwasababu sikua na muda maalum iwe usiku iwe mchana tukikaa pamoja lazima tendo la ndoa lifanyike, ikafikia muda akawa anadai anaumia maana hapumziki.

Nilimvumilia siku za bleed tu, akanipa ruhusa ya kuongeza mke lakini bado haikusaidia ikatokea siku moja akaniaga anaenda kusalimia na hakurudi tena bahati nzuri huyu niliyebaki naye angalau anajimudu japo kuna muda anakataa kufanya tendo hilo.

Tafuta mtu wa kuzimaliza kiu zako pia epuka kujiingiza kwenye umalaya
 
Mi pia demu Wa hvo nko nae mpaka sasa,nae kipindi ana miaka 17-21 kabla ya kuzalishwa alikuwa na tabia ya kutembea na wababa wakubwa,sasa nko nae huu mwezi kama Wa 4 yaan toka tuwe pamoja anapenda sex hatari kila muda na kila Siku na anapenda nimfanye sana tena muda mrefu mpaka sasa nmeanza kuchoka,hana sku ambazo anaonekana ana stress,akiwa na mim ni sex tu
 


Kuwa mwangalifu na usimuamini,
tumia condom muda wote, mara nyingi huwa wana Wanaume wengine na ni wajanja na waongo sana.
 
Kuwa mwangalifu na usimuamini,
tumia condom muda wote, mara nyingi huwa wana Wanaume wengine na ni wajanja na waongo sana.
Huyu mtoto aliniteka faster, nilikuwa mtumiaji mzuri Wa kondomu,siku ya kwanza tulifanya mapenzi bila kutarajia sikutumia kondomu,siku zilizofata nkaweka kimgomo kuwa kufanya mapenzi tena mpaka tupime,ikatokea nikawa busy baadae nkamwambia tukapime akanionesha kipimo kuwa yeye tayari keshapima majibu yalkuwa poa,na Mimi nkaenda kupima peke yangu,lakin nkikumbuka story zake za maisha alyopitia naogopa sana na sasa nshakuwa mwoga kupma tena,ila yeye huwa ana nisihi tukapime pamoja
 
Umepost uzi then Mentor anaangalia comments za wadau anachekaaa...Mbaya zaidi anaingia na kule pm anakutana na vijana wa if basi anajichekea tu.
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…