Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Namkumbusha huyu mwanaume list yake maana naona yuko kunitwisha majukumu kama vile niko peke yanguMwenza kunani tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkumbusha huyu mwanaume list yake maana naona yuko kunitwisha majukumu kama vile niko peke yanguMwenza kunani tena?
Ila we mwanamke..Kupewa raha unaona ni jukumu zito??Namkumbusha huyu mwanaume list yake maana naona yuko kunitwisha majukumu kama vile niko peke yangu
Kuna watu hawajawahi kukutana na sex maniacs. Unakuta mwanamke anapenda mashine kama chakula. Kama wewe hauko hivyo utapiga utaridhisha, utachoka lakini yeye saa 1 mbele anataka tena usiombe.Huyo hata umkune vp utaishia kuukondesha mwili wako tu
Yuko sawa lakini😂 😂 😂 hili jibu lako namuachia Mungu
Miaka inaenda unaona kawaida tuPole sana aisee, enzi zangu nikiwa siwazi kitu nilikuwa nawaza tobo tu. Ila sikuhizi maisha yamenibadilisha.
Namuachia Mungu piaYuko sawa lakini
Aawwww 😋 😋 😋Kuna watu hawajawahi kukutana na sex maniacs. Unakuta mwanamke anapenda mashine kama chakula. Kama wewe hauko hivyo utapiga utaridhisha, utachoka lakini yeye saa 1 mbele anataka tena usiombe.
Hii ishu nilikimbiwa na mke kwasababu sikua na muda maalum iwe usiku iwe mchana tukikaa pamoja lazima tendo la ndoa lifanyike, ikafikia muda akawa anadai anaumia maana hapumziki.Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Mi pia demu Wa hvo nko nae mpaka sasa,nae kipindi ana miaka 17-21 kabla ya kuzalishwa alikuwa na tabia ya kutembea na wababa wakubwa,sasa nko nae huu mwezi kama Wa 4 yaan toka tuwe pamoja anapenda sex hatari kila muda na kila Siku na anapenda nimfanye sana tena muda mrefu mpaka sasa nmeanza kuchoka,hana sku ambazo anaonekana ana stress,akiwa na mim ni sex tuMara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.
Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Mi pia demu Wa hvo nko nae mpaka sasa,nae kipindi ana miaka 17-21 kabla ya kuzalishwa alikuwa na tabia ya kutembea na wababa wakubwa,sasa nko nae huu mwezi kama Wa 4 yaan toka tuwe pamoja anapenda sex hatari kila muda na kila Siku na anapenda nimfanye sana tena muda mrefu mpaka sasa nmeanza kuchoka,hana sku ambazo anaonekana ana stress,akiwa na mim ni sex tu
Kwani unanipa peke yangu? Unanipa na mimi nakupa, isitoshe wewe ni type ya mtoa mada kwa hiyo ni jukumu zitoIla we mwanamke..Kupewa raha unaona ni jukumu zito??
Huyu mtoto aliniteka faster, nilikuwa mtumiaji mzuri Wa kondomu,siku ya kwanza tulifanya mapenzi bila kutarajia sikutumia kondomu,siku zilizofata nkaweka kimgomo kuwa kufanya mapenzi tena mpaka tupime,ikatokea nikawa busy baadae nkamwambia tukapime akanionesha kipimo kuwa yeye tayari keshapima majibu yalkuwa poa,na Mimi nkaenda kupima peke yangu,lakin nkikumbuka story zake za maisha alyopitia naogopa sana na sasa nshakuwa mwoga kupma tena,ila yeye huwa ana nisihi tukapime pamojaKuwa mwangalifu na usimuamini,
tumia condom muda wote, mara nyingi huwa wana Wanaume wengine na ni wajanja na waongo sana.
Akuuu mimi naumwa mwenza, we tusaidie tu. Ila kwenye mgao wa hela usinisahau.Namkumbusha huyu mwanaume list yake maana naona yuko kunitwisha majukumu kama vile niko peke yangu
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hii ishu nilikimbiwa na mke kwasababu sikua na muda maalum iwe usiku iwe mchana tukikaa pamoja lazima tendo la ndoa lifanyike, ikafikia muda akawa anadai anaumia maana hapumziki.
Nilimvumilia siku za bleed tu, akanipa ruhusa ya kuongeza mke lakini bado haikusaidia ikatokea siku moja akaniaga anaenda kusalimia na hakurudi tena bahati nzuri huyu niliyebaki naye angalau anajimudu japo kuna muda anakataa kufanya tendo hilo.
Tafuta mtu wa kuzimaliza kiu zako pia epuka kujiingiza kwenye umalaya
Naomba uumwe hadi kwenye mgao, asiyefanya kazi na asileAkuuu mimi naumwa mwenza, we tusaidie tu. Ila kwenye mgao wa hela usinisahau.
Mke..Kwani kimoja kila siku ni kazi nzito.Mbona kawaidaKwani unanipa peke yangu? Unanipa na mimi nakupa, isitoshe wewe ni type ya mtoa mada kwa hiyo ni jukumu zito
Mume sikukuu leo inakuwajeMke..Kwani kimoja kila siku ni kazi nzito.Mbona kawaida
Vile utakavyo..We nambie tuMume sikukuu leo inakuwaje