I am addicted to sex

I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
uko poa!! njoo PM nina tiba yako..kuna mtu alikua na tatizo kama hilo nikamsaidia.
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
When you hit the wall trust me no man will look at you twice and that will solve your problem.
 
Evelyn Salt ..... unajua the older we get as women the better the sex gets. You know why? We know our bodies better.... We know what tickles our fancy.... we know how to get the pleasure we desire and we are not afraid to take the leading roles.

Heck, we are older now.... more comfortable in our own skin. We have accepted our ecellulite and stretch makes and we wear them as trophies of motherhood. And in between all this.... sex gets better.

And when anything gets juicer..... we want it more. And more.
Hamu zangu tangu u- teenager naona gragh haishuki pamoja ma majukumu ipo pale pale na muda mwingine naona inazidi teh
 
Very well said and so TRUE!

Evelyn Salt ..... unajua the older we get as women the better the sex gets. You know why? We know our bodies better.... We know what tickles our fancy.... we know how to get the pleasure we desire and we are not afraid to take the leading roles.

Heck, we are older now.... more comfortable in our own skin. We have accepted our ecellulite and stretch makes and we wear them as trophies of motherhood. And in between all this.... sex gets better.

And when anything gets juicer..... we want it more. And more.
 
Kama ni kwa mwanaume mmoja hakuna tatizo lolote kwanza nifaida, ila kama unabadili wanaume apo ndo tatizo kubwa sana.
 
Mpendwa unajikaza hadi wiki ili iweje..Kama unagongana na mtu mmoja mme/boyfriend kuna shida gani?..Unless kama hiyo hali inamkera mwenza wako vinginevyo we kugegedwa tu mpendwa..
 
[emoji3][emoji3][emoji3]huyu naona yuko kama wewe
Mpendwa unajikaza hadi wiki ili iweje..Kama unagongana na mtu mmoja mme/boyfriend kuna shida gani?..Unless kama hiyo hali inamkera mwenza wako vinginevyo we kugegedwa tu mpendwa..
 
Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.

Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
mmoja tu ndo iwe mara nyingi?
ukweli ni kuwa sexual abused kuwa na high sex drive ni kinyume kama chumvi na sukari!
huyo wako ulikuwa tu unampa mambo vizuri akakuelewa!
 
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.

Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh

Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
I THINK NAKUELEWA SANA!
MNO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom