Achague mke maana kuna wake wengine wanaweza kuwa wanamletea pombe na kitu anapata ila pombe itakuletea hangover na kitu haupati.Hahaa chagua pombe ama mke ova, na nnavokufahamu utachagua pombe wewe[emoji57][emoji57]
Daaa penzi limeishia hapa mamiiii....hahahahaHahaa chagua pombe ama mke ova, na nnavokufahamu utachagua pombe wewe[emoji57][emoji57]
Hahaa oa hiyo hiyo pombe baba😀Daaa penzi limeishia hapa mamiiii....hahahaha
Si mtmbjjiiiMdharau qummaaaaa......
Evelyn Salt
Mmh jamaniUnapenda kununua uchi kutoka kwa malaya wenye watoto.
Malaya ndo wenye sifa zilizotajwa kwenye mada.Mmh jamani
Watoto watakua wameisha nyonya wote. 😁😂Mkeo akizaa likilala unamuacha nae[emoji23][emoji23][emoji41]
Si mtmbjjiii
Africa na umasikini wetu akili zetu huwa ni kuzaa tuuu.Umri mzuri wa kuoa ni around 25-30, Ikiwa umejipanga vizuri.Ili kwamba uwe na uwezo wa kuwalea Watoto vizuri,na kumpa dozi inayotakiwa mkeo.Ukichelewa sana kuoa Kuna Watoto utashindwa kuwalea vema, unless utazaa mtoto mmoja tu au wawili.Mke naye labda uoe mkubwa mwenzio,ukioa dogo dogo Vijana watakusaidia kumpa dudu kwasababu wewe nguvu zitakuwa zinaishia.
Ni wanawake pia wanahitaji fadhila.Unapenda kununua uchi kutoka kwa malaya wenye watoto.
Nop siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto abadani.Single Mother's nao ni binadamu kama binadamu wengine tafuta mmoja ufunge naye ndoa kama dini yako inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja siyo mbaya ukaongeza na wengine, kila lakheri.
Sawa,kazi kwako,kuchagua kusuka ama kunyoa.A
Africa na umasikini wetu akili zetu huwa ni kuzaa tuuu.
Tafuta hela jombaaa u "enjoy" life.
Umekuja mwenyewe utaondoka mwenyewe.
Haya mengi ni ya ziada.
Nani kakwambia ukiwa na mke na watoto ndio umeyapatia.
Kuna walioa wanajuta Kuna waliozaa wanajuta kuzaa watoto wasioleweka.
Nina miaka 31 na sifikirii kabisa kuoa.
Na kuoa hakuna formula jombaa.
Hayo ya umri ni mawazo YAKO.
Kuna mwengine aliniambia umri sahihi wa kuoa ni miaka 28 mpaka 35.
Sasa nimsikilize yeye au wewe?
Kifupi hebu ISHI MAISHA YAKO ULIYO NAYO SASA.
#YNWA
Kitendo cha kutoa penzi pasi na kuwepo kwa ''genuine desire" ni "transactional sex"
Mwanamke yeyote yule duniani ambaye anatoa penzi kwa lengo la kupata bidhaa, huduma au pesa ni "Malaya"
Malaya anaweza akawa mwanamke yeyote yule - awe ameolew, aja olewa, single maza, double maza nk.
Kimsingi ndugu yangu Liverpool VPN yuko addicted na Malaya.
Hiiiiiii bagoshaaaaa...😩😩😩😩Kitendo cha kutoa penzi pasi na kuwepo kwa ''genuine desire" ni "transactional sex"
Mwanamke yeyote yule duniani ambaye anatoa penzi kwa lengo la kupata bidhaa, huduma au pesa ni "Malaya"
Malaya anaweza akawa mwanamke yeyote yule - awe ameolew, aja olewa, single maza, double maza nk.
Kimsingi ndugu yangu Liverpool VPN yuko addicted na Malaya.