kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Achague mke maana kuna wake wengine wanaweza kuwa wanamletea pombe na kitu anapata ila pombe itakuletea hangover na kitu haupati.Hahaa chagua pombe ama mke ova, na nnavokufahamu utachagua pombe wewe[emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app