I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Kumbe ndo maana!! Miss chitchat charminglady ushapewa zawadi yako? Hilo neno alosema Nicas Mtei hapo juu liangalie kwa jicho la tatu utaona lina ukweli ndani yake. Afu ngoja nitarudi.

Mie mwenyewe nilipoona huo uzi nilishanga... kumbe alikuwa yeye! Hahahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Bwana Ruhazwe JR bado unampenda cl au kasi imepungua?
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa mapumziko ya jf ila i,enibidi kurudi kidogo; mie tangu day 1 nilijua Wakati ndio sasa ni alter ego wa Ruhazwe JR ila nikaona sio ishu saana one day itafahamika tu, sasa hivi wame merge id hahahahhaha kisa charminglady nimekumiss ex
 
Mekumiss sana ex... vipi pasaka wapi????
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahahahahahaha
nilikuwa mapumziko ya jf ila i,enibidi kurudi kidogo; mie tangu day 1 nilijua Wakati ndio sasa ni alter ego wa Ruhazwe JR ila nikaona sio ishu saana one day itafahamika tu, sasa hivi wame merge id hahahahhaha kisa charminglady nimekumiss ex
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa mapumziko ya jf ila i,enibidi kurudi kidogo; mie tangu day 1 nilijua Wakati ndio sasa ni alter ego wa Ruhazwe JR ila nikaona sio ishu saana one day itafahamika tu, sasa hivi wame merge id hahahahhaha kisa charminglady nimekumiss ex

Yaani waendelee kuzimerge hivihivi . . . tuzidi kufahamiana zaidi.
Imenikesha kweli aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…