I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

I am back from BAN,....Nipokee charminglady asali wa moyo wangu!

Habari nzuri kabisa my tablemate.
Mie pia nimekumiss sana.

Ebu nipe mwongozo basi, nimekusubiria kwa muda sana.
Je, miss CC kumtolea nje mr Lundenga na kuchelewa kwa zawadi . . . imekaaje hii??

mh..... Jamani mbona hivyo??????
 
Hahahahaha
jamaa ana weza akawa innocent kabisa, zawadi zilichelewa sababu alikuwa amepata matatizo na alishindwa kuingia jf!na zawadi washiriki wamesha julishwa kuwa watapewa maana zimesha wakilishwa kwa moderator!

Naamini hili halina mahusiano kabisa na bwana lundega kukataliwa!
Lakini hii thread itawapa wengi doubt! Sikutegemea!

Daaah jf nomaa!
Habari nzuri kabisa my tablemate.
Mie pia nimekumiss sana.

Ebu nipe mwongozo basi, nimekusubiria kwa muda sana.
Je, miss CC kumtolea nje mr Lundenga na kuchelewa kwa zawadi . . . imekaaje hii??
 
Back
Top Bottom