Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Habari yako dada Kipipi?
Miss you!
hahah tena ingegeuka skype ndo ingenoga zaidi!
Habari nzuri kabisa my tablemate.
Mie pia nimekumiss sana.
Ebu nipe mwongozo basi, nimekusubiria kwa muda sana.
Je, miss CC kumtolea nje mr Lundenga na kuchelewa kwa zawadi . . . imekaaje hii??
mh..... Jamani mbona hivyo??????

Hahahahahahahaha
nipo tanzania!